G
Nenda TikTok Kwa mdada wa kitz anaishi Japan ,anajiita Rachel ndo kaonfea magu alivyofanyiwaKikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Kwahiyo we unayosema haya ndo uhakika mkuu?Tuchunge sana tusije kujichumia dhambi bila ya sababu za msingi. JPM moyo wake ulikuwa mbovu kabla hata hajakwenda masomoni Uingereza, aliishi na betri kwenye moyo.
Pia waliomtembelea kule chato waliiona tabia tofauti na mgonjwa wa moyo anavyotakiwa kuishi, kunywa pombe kitu ambacho kilimuathiri kwa namna moja au nyingine. Sawa sawa na RIP Lowassa alivyokuwa.
Polepole na Bashiru Ali walipiga mabilioni mengi kwenye ule mradi haramu wa kununua wapinzani uchwara maana wao ndiyo walikuwa wanapanga bei.Unadhani polepole alikuwa halambi asali?
Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?
Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!
Hoja ya kijinga Sana hii.
Rafiki yangu alialikwa Chato kipindi kile Magu alipokuwa bado yupo hai, alikuwa mmoja wa watendaji wakubwa serikalini. Alishuhudia hizo hulka zake akiwa mgeni wake.Kwahiyo we unayosema haya ndo uhakika mkuu?
Duh ,mf, mtu wa kisukari anaweza kutumia sukari wakati anajua haitakiwi? Una uhakika na hao waliokwambia kuhusu magu na pombe?
Na huyo unaemtetea Kwanni watu wote waone shida yeye tangu enzi na enzi?
We unayajua ya huko ndani Kwa wenye system?
Na inavyoonekana hata hii nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama waliangalia mtu wanaeweza kwenda nae mbinafsi na asiye na misimamo katika kusimamia misingi ya chama na nchi. Wamejaza ndugu zao kwenye nafasi za ubunge kote nchini hivi watoto wa wakulima watakuja kuwa viongozi lini hapa Tanzania? Aisee kama wewe ni mwana CCM usikubaliane na huu upuuzi kabisa Mimi sitakubali.
Hii hoja siyo ya kijinga huu ni mtego ambao Samia mwenyewe anatakiwa kuujibu. Kuna uwezekano na yeye ni mmoja wao, Kuna uwezekano amezungukwa na watu anaodhani Wana msaada na yeye hapo alipo au Inawezekana anaogopa labda Wana nguvu ya kumuua. Muda siyo mrefu tutapata jibu sahihi mambo yanachemka chini kwa chini. Chama hakiwezi kukabidhiwa kwa majambazi.
umesahau kwamba ni kiziwiWahuni siyo watu wazuri hata kidogo! Sijui wamemlisha nini Bibi yetu wa Kizimkazi. Maana hasikii, haoni, haelewi!!
Makutupora mara ya mwisho umefika lini kiongozi?Unajaribu kumponda Samia kupitia uwepo wa Kikwete na Familia yake ndani ya CCM lakini inabidi uwe na ujasiri mkubwa sana kutoyaona mengi sana ya muhimu anayoyafanya Samia na awamu yake.
Hakuna mradi aliyouanzisha JPM halafu Samia auche nusu nusu.
SGR inaelekea kumalizika kimebakia kipande cha kuelekea Mwanza na chenyewe kitakwisha hivi karibuni.
Viwanja vya ndege karibu vyote vinaelekea kumalizika muda huu. Wawekezaji wengi wanakuja awamu ya sita.
Kigoma iliyokuwa imesahaulika muda huu inao umeme na imefikiwa na miradi ya treni.
Mwenye haki ya kuiponda awamu ya sita ni Tundu Lissu, Heche watu ambao hawapo ndani ya CCM hawa wa ndani ya chama ni wachafu sawa na wanaowanyooshea vidole.
Kina January Makamba, Luhaga Mpina na wote wa aina yao baada ya kupigwa chini ubunge wanakuja na mashambulizi kupitia majina bandia humu JF.
Kazi aloyopewa ya kuwa amiri jeshi mkuu siyo nyepesi anatakiwa kuonesha uwezo wake laa sivyo aachie ngazi tumweke polepole.Mkuu Samia hana nguvu yoyote, hilo kundi limemdhibiti, hata atake kuachia ngazi baasi hawezi hana budi ni kuwatii tu. ikiwa Kuna fununu Jiwe walimfyeka yeye ana ujasiri gani wa kuwadindishia?
Wapo hata marehemu Magufuli alikua miongoni mwao ila ndio hivyo mpaka upenye kufika hapo kwenye kiti lazima jasho likutoke. Kikwete na kundi lake hawataki kuiachia nchi ipumuwe.hivi ndani ya CCM kuna mtu anaesimamia nchi? be serious dude
Kazi aloyopewa ya kuwa amiri jeshi mkuu siyo nyepesi anatakiwa kuonesha uwezo wake laa sivyo aachie ngazi tumweke polepole.
Unataka atoke ili mumkamate mkamuuwe?poleole mwenyewe yupo kwenye mashimo ya panya amejificha
Achore tena michoro mingi ya kuonyesha namna zilivyotumika.mzee wa V8 nayeye atwambie zile 1.5 trillion zilienda wapi?
Samia aahirishe kugombea urais,asigombee ili taifa libaki salama.
Mpaka anasema hadharani kwamba boss wake ni kikwete inaonekana Samia hana upeo wa kuona mambo na ku-reason sawa sawa,yupo yupo tu hajui thamani ya kiti alichokikalia.
Lissu, Lema na mnyika walikuwa sehemu ya hayo maamuzi na ndio maana hukuwasikia kupinga hayo maamuzi au kujiuzulu Kama alivyofanya Dr. Slaa na hawakuishia hapo tu walimpigia na kampeni kabisa Kama ambavyo unawaamini viongozi wako pamoja na Hilo kosa waliofanya basi Huna uwalali wowote wako wakuhoji kwanini polepole hakuongea kipindi cha Magu kwanini anaongea sasa tofauti na hapo utakuwa unafanya ushabiki na chuki zako binafsi kwa polepole
Ni kweli lkn Samia lazima abebe hii lawama
Watu wanakupangia na wewe unakubali ?
And your the president? Commander in Chief? Seriously?
Ndio maana nimesema Samia is the part of problem yeye ni tatizo zaidi kuliko Hayo magenge!!
She must go !!