ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
Mabo mazito sana. Ila sie wanachi tukae pembeni tusiingilie hii vuta ni nzito.. Damu zaweza toka puani.. Hata comments zake soma kimya kinya like pita hivi .. tusije ansa saka hadi kwenye mitandao π πDuuuh aya
Mwanamtandao katoka mafichoni
Asali hio unayoilamba na kuila, Baba wa Mbinguni atakufanya uinye siku Moja ...siku yaja ewe mwanadamu ..okoka ..πAcheni kelele uchwara zenu
Tafuta chimbo ulambe asali
Huyu ana uraia wa nchi mbili, je Tanzania inaruhusiwa kuwa na urai pacha?Mwanamtandao katoka mafichoni
Hiyo namba chafu ni CIAHuyu ana uraia wa nchi mbili, je Tanzania inaruhusiwa kuwa na urai pacha?
Inashangaza sana mtu km huyu kumruhusu kuingia chumbani?Hiyo namba chafu ni CIA
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Lissu, mnyika na Lema walisema wanajua ufisadi wa Lowassa lakini wakawa sehemu ya kumpokea kwenye chama na kumsafisha kwenye kampeni je vipi hawa unawaamini?Anaweza kuwa sahihi lakini kipindi yuko kundi la watesaji akina Jiwe hakuweza kusema haya. Binafsi simwamini aliyepo na wala siwaamini Sukuma gang
Hawa wanaaminika maana kubwa mbowe ndo alifanya kila kitu kama boss shida ilikuwa kwa lissu ilibidi akubali shingo upande ili isionekane kama analeta mgawanyiko chamani ukiiona humukubali Lissu basi wewe ni kobazi mdini jichunguzeLissu, mnyika na Lema walisema wanajua ufisadi wa Lowassa lakini wakawa sehemu ya kumpokea kwenye chama na kumsafisha kwenye kampeni je vipi hawa unawaamini?
Akiendelea kurudiarudia hii mada atapoteza ushawishi. Hili la kusema wanaomzunga wanaomzunguka kila siku inakuwa hamna jipya.Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Ndiyo mnaotuharibia utanzania wetu na uislamu wenuHutaki sisi waislamu tutawale nchi kwa amani kwanini wewe na polepole mnachuki sana na rais muislamu
Mwamba amejidhihirisha.... Bimkubwa anapokea maagizo kutoka kwa mheshimiwa mstaafu.....Kwenye uzinduzi wa hema alisema ameandamana na "boss" wake.
Na hawezi kuongea bila kumpa "boss" wake nafasi aongee pia
wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.ππ¨Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Ukweli utajulikana tuKikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Wewe kwanini haukusema??Anaweza kuwa sahihi lakini kipindi yuko kundi la watesaji akina Jiwe hakuweza kusema haya. Binafsi simwamini aliyepo na wala siwaamini Sukuma gang
Ndiko anakoelekea Polepole.Kikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Tamaa alitaka asali nyingiUnadhani polepole alikuwa halambi asali?
We elewa hivoWW MUNGU?