TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Duh...!. Hivi hizi mambo bado zipo?!
Nilidhani zimekwenda na naniliu!.
Could be just an amazing coincidence!.
P
 
That's...it,
That's...it,...well...said................
 
This is deep maninaaa[emoji848][emoji122][emoji122]
 
Maelezo yamenyooka, tuishi nayo hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imani ya vyuma vya wajerumani itaua watu pia.
Kwanza pamoja na hoja ya ajali ni ajali, kumaanisha kama siku yako imefika ni imefika tuu lazima utakufa kifo kile kile ulichopangiwa!, hivyo mtu unaweza kuwa huumwi chochote na ukalala usiamke, ndio safari!.

Pili kwenye issues za magari, Wabongo wengi wana opt magari ya Japan kwasababu kwanza ni cheap!, pili easy to maintain with plenty of counterfeit and used spares,

Tatu they are first moving when you decide to sell, lakini kiukweli kabisa umadhubuti wa cheap cars za Mjapani/Korea ni tofauti kabisa na umadhubuti wa gari za Mjerumani, EU or American cars kwasababu Japan na Korea amejikita kutoa lightest cars and cheapest, wakati kwa Mjerumani safety ndio priority no 1.

Mimi usafiri wangu wa kazi ni boda boda, ila for the sake of family niliweka a heavy thing ya chuma cha Mjerumani, wife akasema she is uncomfortable to drive, it's too heavy!, nikamtafutia kitu cha Japan, light & easy!.

When you have both hapo sasa ndio uta notice the differences!, kwanza ukifungua mlango wa Mjapani ni very light mlango mwepesi, mlango wa kitu cha Mjerumani is heavy!. Hapo ndipo nikajua kwanini gari ya Mjapani ikila mzinga wa haja kwa kugongwa ubavuni, inageuka chapati!. Huo mlango wa chuma cha Mjerumani, ugongwe ubavuni mpaka umfikie dereva ni shughuli!.

Tukija kwenye mwendo kasi la long safari, kitu cha Mjapani, gari zote za Japan mwisho ni speed 180!. Ukifika 140 gari inakuwa very light unstable kama inataka kupaa hivyo in case of anything, it's hard to control.

Chuma cha Mjerumani speed yake ni 280, kwa kwa kadri unapokuwa kuwa kuanzia 140 kwenda 160 centre of gravity inaongezeka dude llina lala chini, hivyo ukisikia chuma cha Mjerumani kimepinduka!, ujue mtu alizidisha!.

Hivyo kujikuta nikisafiri na gari ya wife hata nikiendeshwa na dereva, ikifika too speed 100 kunapiga vi kengele, you can't relax wala sipati usingizi kwa yoga!. Nikiendeshwa chuma cha Mjerumani, kama ni Moshi, nashituka tunapokunja Msata na Segera!, Mombo nafanya kuamshwa lazima tutafune mbuzi pale!.

Hivyo kiusalama kiukweli kabisa chuma cha Mjerumani ni salama zaidi kuliko makaratasi ya Japan, ila haizuii kitu kama siku yako imefika!.

Mimi mwenyewe, pamoja na kumiliki chuma cha Mjerumani tena cha maana, wife ana ka Mjapani, bado huwa nasafiria farasi!. Farasi wangu ni farasi mweupe wa Mmarekani speed yake 280, hivyo anakimbia mbio kuliko gari yoyote ya Mjapani', ile siku issue hii iliponitokea, nilikuwa nimepanda farasi wangu, mwendo wangu ni 180!, nayapita magari kama yamesimama!, kumbe ndio siku yangu!, yakanikuta ya kunikuta huku chuma cha Mjerumani kipo!, bati la Mjapani lipo!.
Siku yako ikifika ni imefika!. RIP Balozi wetu!.
P
 
James hadley chase !! 😂😂
 
luckyline amesema “kabla hawajaanza safari”. Ambapo inawezekana kuna mtu aliyesikia. Wewe unazungumzia kama walishaanza safari. Ni suala la kusoma na kuelewa.
 
Nakubaliana na wewe kuna level ukiifika hiwe ya uongozi au maendeleo, usafiri unaotumia lazima ubadilike na ikipendeza uwe na dereva.While the other factor remain constant.Ceteris peribas.
 
Huyo farasi wako wa kimarekani ni Harley Davidson?
 
Kwa Paskali na Le Mutuz ni age mate?🤔
@JembeKi
Yes, hata kama sio exactly but sisi ni watu wa 60s, if ilipoanzishwa ile 2006, watu wa 60s tulikuwa wengi, as days goes by tulianza kupungua humu kutokana na ujio wa damu changa, issues laini laini na nyepesi nyepesi, wengi wetu wameishia kujitoa kimya kimya.

Sisi wa 60s tuliobaki humu, ni few of us ambao ni very adaptive wenye uvumilivu mkubwa, kuvumilia kutukanwa na vitoto vya kuwazaa na bado ukawepo!.

Nilikutana face to face na Le Mutuz aliporejea nchini kugombea EALA, nikaja kukutana nae tena 2012, nikampiga impromptu moja, kiukweli jamaa yuko vizuri sana!. Pia humu JF niliieta Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
P
 
luckyline amesema “kabla hawajaanza safari”. Ambapo inawezekana kuna mtu aliyesikia. Wewe unazungumzia kama walishaanza safari. Ni suala la kusoma na kuelewa.
Safari ilianzia nyumbani ambapo baba marehemu alisafiri na dereva na mwanae mmoja.
Kwa maelezo ya wanafamilia ,Wakati wanataka kutoka eti baba akaingia ndani kuendesha dereva akamwambia wacha mimi niendeshe akakataa akamwambia utaendesha huko mbele na safari ikaanza.
Hapo msibani tulikuwa tumekaa na mchaga mmoja akasema. Marehemu ni mtu wa pombe siku zote hata usiku wa kuamkia safari alikuwa amekunywa. Sasa mtu wa hivyo hawezi kuwa sawa asubuhi na yeye ndo alivamia roli bila shaka alipitiwa ka usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…