TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Hili la ajali kutokea tangu juzi na umma ujulishwe au uanze kupata habari leo ndio linafikirisha zaidi.
 
Wazuri hawafi🤣...naona P unataka kupingana na ujumbe WA MSWAHILI makamba😁
 
Tuishie hapo juu ya kilichomsibu marehemu, itoshe kusema ameumaliza mwendo kwa namna ya tofauti.
 
Hivi usajili wa gari unaangaliaje? Asante.
 
Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makatasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
Ukisikia mtu amekufa kwa ajali, usiku, mwili umeungua, jiulize maswali mengi. Kuna hawa jamaa zetu wana hiyo modus operandi, hawataki contradictions kutoka kwa madaktari wanatakapofanyia mwili postmoeterm, au wanafamilia kuwa na maswali meeengi

Na kulikuwa na issue Austria, hakuja kwa ajili ya likizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…