Shangaa Katibu Mkuu Foreign anakwambia hajui lolote hadi muda huu, kwamba hata kuwatuma tu Wasaidizi wake nyumbani kwa Marehemu Mbezi Beach hajaweza, chaaBalozi anafariki Jumanne usiku,taarifa za kifo zinatoewa Alhamisi, ?
Familia/Serikali hawakuwa na taarifa kuhusu hiyo safari yake??
Hata mimi nimeshangaa maana iyo ajali walisema amekufa mdada akiwa kwenye crown Leo tena habari nyingineMbona kuna taarifa ilitoka hapa juzi aliyekufa ni mdada?
Mkuu marcus dedsec , mimi nimeishi UK, kule machinjioni utumbo unatupwa!, ila wenzetu wa Nigerians wanachukua utumbo wanapika kwenye restaurants zao na sisi tunakula, hivyo huo utumbo nimaoletaga humu, kuna watu wanakula!. Uzuri wangu, humu, zaidi ya kuleta minofu humu mara kibao, sio vinay, mara moja moja nilaleta na utumbo, minofu tuu kila siku, inachosha!, utumbo hauchoshi!. Hata wali au pilau inakinaisha lakini ugali hauchoshi!.Kumbe una umri mkubwa namna hiyo halafu unaletaga utumbo tu humu.
Inamaana kuwa Balozi ndio Risk?RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.
Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
P
Bro kwan mmeongeza tena life ianze na 50?A man is as old as he feels, a woman as old as she looks!. Life begins at 50!, mimi mbona bado sana, japo tayari ni 50+, lakini naendelea kufyatua!, kati hapa nimefyatua tena Changamoto za Kupata Mtoto Mchanga, Ukiwa Umri wa Kustaafu!. Unakuwa ni Baba Babu!. Dawa ni Kujipanga Kabla, Vinginevyo ni Kubebesha Watu Mizigo Yako!
Kama unapenda nyama, na meno bado ipo, lazima utaendelea kutafuna tuu nyama, meno yakingooka, hapo sasa ndio unaanza kula vitu laini laini kama maini!.
Mushi ni mshikaji sana!, neno mshikaji halina umri!. Rip Balozi mshikaji Mushi.
P
Sijui.kama akili zake zinaweza kuelewa ulicho andikaMkuu marcus dedsec , mimi nimeishi UK, kule machinjioni utumbo unatupwa!, ila wenzetu wa Nigerians wanachukua utumbo wanapika kwenye restaurants zao na sisi tunakula, hivyo huo utumbo nimaoletaga humu, kuna watu wanakula!. Uzuri wangu, humu, zaidi ya kuleta minofu humu mara kibao, sio vinay, mara moja moja nilaleta na utumbo, minofu tuu kila siku, inachosha!, utumbo hauchoshi!. Hata wali au pilau inakinaisha lakini ugali hauchoshi!.
P
Ngoja niwasaidie wanaohoji IQ yako...RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza Balozi Cisco, Balozi Akili, kufunga kufungua Balozi Edwin Rutageruka!, sasa Balozi Celestine Mushi!.
P
Tunaosafiri na IST tukomenti wapi?R.I.P boss
Ila kwa safari ndefu tena kutoka Dar mpaka Moshi ni Bora kutumia SUV tu kwa mfano
1. Hyundai Genesis GV80 ya 2022
2.Volvo XC90 ya 2022
3.BMW X6 GT30 ya 2020
Jaribu kuendesha gari la Ulaya ama Marekani uone tofauti yake na Mjapani.Hakuna kitu mkuu,siku ikifika imefika,mbona Princess Diana alifia kwenye Mercedes Benz matata sana!hata yule Ginimbi aliekuwa tajiri mmoja kule Zimbabwe alipata mzinga wa kufa mtu akiwa kwenye Rolls Royce ya kueleweka sana,tuombe tu Mungu mkuu kwani hatujui siku wala saa kifo kinapokuja...
Acha makasiriko mkuu, tafuta hela!.Acha kujifanya bado mtoto, mshikaji mshikaji. Umri wako wa kulea wajukuu lakini kutwa kucha jukwaani kushindana na vijana.
Hamna mtu anaigonga IST.Tunaosafiri na IST tukomenti wapi?
Ameen
angemtanguliza dereva akampokee kia, ingawa kifo ipo mahali yeyote.Mungu amueke mahara pema poponi,.........ila balozi wetu kuendesha crown sloon sijui ndo economy yetu ndo ilivyo au ubahili?
Sikiliza wimbo hugo sauti ya mankaKivipi?