BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

Leta picha tafadhali
 
Watu wanataka maendeleo na sio siasa taka za kupinga kila jambo linalofanywa na chama pendwa, chama chenye historia katika bara hili na hata duniani kwa ujumla chama tawala CCM.
 
π‘π‘Žπ‘“π‘’π‘Žπ‘‘π‘–π‘™π‘–π‘Ž 𝑂𝑛𝑙𝑖𝑛𝑒...π‘˜π‘’π‘›π‘”π‘’ 𝑑𝑒 π‘›π‘‘π‘œ π‘Žπ‘‘π‘Žπ‘ π‘Žπ‘π‘œπ‘‘π‘– β„Žπ‘’π‘’ π‘šπ‘˜π‘Žπ‘‘π‘Žπ‘π‘Ž π‘“π‘’π‘˜π‘–
 
Una kiherehere Cha kike. Tulia
 
π‘›π‘–π‘π‘œ π‘›π‘Žπ‘“π‘’π‘Žπ‘‘π‘–π‘™π‘–π‘Ž π‘Œπ‘œπ‘’π‘‘π‘’π‘π‘’ β„Žπ‘Žπ‘π‘Ž...π΄π‘ π‘Žπ‘›π‘‘π‘’ π‘€π‘€π‘Žπ‘šπ‘π‘’π‘˜π‘’π‘ π‘–
 
SAUTI YA WATANZANIA, DIWANI ATUMA UJUMBE MZITO KWA CCM


Deogratius Mushi kiongozi na mwanaCCM, aishangaa CCM kuhusu suala la bandari. Bw. Mushi ni diwani wa Kibosho Magharibi Kilimanjaro mstaafu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…