Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

Huna sababu yankujaza quotations. Weka kimoja usomeke ukishajibiwa weka. Kingine. Usifikiri paper ya. Mtihani hii. It's just a social media.

. Haya rudia kimoja tu.
Hujui kusoma na kuandika ama?hau kusoma na kwenyewe hauwezi??
Maana ww huwez kila kitu
Soma kifungu cha 5:4

Kabla hujasoma hicho kifungu, soma ukurasa wa Mwanzo kabisa inasema ni mkataba wa nini huu?
Bunge la kipuuzi,limeshapitisha hilo kipengele ni useless,
Kipengele kimoja hakiui kingine,watu wanaweza kushikiria bomba kwa kipengele kimoja 2 ,soma kipengele 23,21,22,14,10,2 hivyo vinaonesha hatuna chetu
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji134][emoji134][emoji134] Waarabu cyoo ndg yangu teena kaulit mbiu yao uarabu kwanza uislam baadaye wabinafsii sanaa wanatudharau sana watu weusii mm Waarabu hapana kwakweli
 
Tunasubiri sisi wazenji bandari yetu nayo aje muarabu
 
Ila haka huwa ni kaunafiki kakubwa sana.

Waarabu walikuwa wanakuja wachache tuu..ila ndugu zenu, Wanaume waafrika wenzenu ndio walikuwa wanawakusanya wanawafunga kamba na kuwakabidhi kwa waarabu.. nani wa kulaumiwa na kuliliwa hapo?
 
Mwanamke kwetu Hana urithi
Kwao ni kule anapoolewa.
Ndio maana umejaza hizo pumba hapo coz huna chakupoteza.
 
Mwanamke kwetu Hana urithi
Kwao ni kule anapoolewa.
Ndio maana umejaza hizo pumba hapo coz huna chakupoteza.
AlhamduliLlah Waislam ndiyo dini ambayo wanawake tunarithi jwa niaka zaidi ya 1400 sasa.

Uislam ni mwema sana.

Hiyo mada kwa mwandiko wako ulivyo naelewa kuwa huwezi kuielewa kabisa.

Upo finyu sana.
 
umehamishia akili yako kwenye ushungu kichwa kikabaki kopo. hakuna anayepinga bandari, kinachopingwa ni terms za kwenye mkataba. sijui lini mtaelewa hili.
 
umehamishia akili yako kwenye ushungu kichwa kikabaki kopo. hakuna anayepinga bandari, kinachopingwa ni terms za kwenye mkataba. sijui lini mtaelewa hili.
Ushungi kama wa mama'ke Yesu au siyo?

Hakuna mkataba wa IGA duniani usioweza kukosolewa. Mapoyoyo mnadanyana.
 
Mi Waarabu nawakubali kwenye uwekezaji.
Sio kama Wachina
Uingereza yenyewe imewapa bandari zao waziendeshe.

Wana asili na bandari hao toka enzi na enzi. Hata hadithi ya Sindbad inatukumbusha hilo.
 
Nenda Dubai,ukaangalie waislamu walivyoendelea,kutoka a fishing village(!kijiji cha uvuvi),mpaka kuwa Global City(Jiji la Dunia),na hawana mafuta,wanategemea bandari tu,na imewainua kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…