Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Nipo Bado Mkuu, mpaka juma5, nikucheki badae Mzee baba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Arusha kwa sasa sio.sehemu salama ya kuishi

Kuna unyama na ushenz mwingi Sana Arusha

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mnatoaga wapi akilo hizi?
Watanzania wengi wa mikoa tofauti na Arusha mmejaa upepo wa woga bure.
Arusha ni salama sana siku hizi.

Hii baa ni ya machangudoa unategemea nini?
Ukitaka kuwa salama Arusha kuna lounge kibao zenye heshima sana tu kuliko mahali popote.

Hizi zinazoongelewa ni mbio za mchangani.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kupeleka kinywaji counter tayari ulisha hatarisha usalama wako,Arusha % kubwa kuna wezi tena kuna kila style ya kuibiwa hata uwe inteligent kiasi gani cha msingi ni ku epuka kuzoeana na watu,take care sana na kinywaji.
 
Mtu akikuona picnic tayari umedharaulika

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Sikanyagi Tena Pale, jana nilienda Cocoriko ni afadhari Kidogo Kuna ustarabu, Arusha watu wengi Wana usela Mavi
Mkuu kama unajirlewa nenda Andrew's, The Don, 40/40, Njooys, 2000 motel. nk
Hizo ni sehemu za watu wanaojielewa na sehemu kama hizo zipo nyingi.
Cocoriko bado nalo ni chimbo la kishamba tu kila changu anakimbilia pale.

Labda mimi kwasababu napenda sehemu tulivu.


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Wengine wanaenda PICNIC kufuata msosi tu wala sio kufuata pombe wala machangudoa. Kwa hizi tuhuma za wateja kuibiwa ni wakati sasa kwa mwenye baa kufanya kazi ya ziada kuajiri walinzi/sungusungu ili mteja akifika pale apate huduma vizuri na aondoke pale baa na viunga vyake salama salimini. Akiendelea kupuuzia ajiandae kukimbiwa na wateja kwani kila mtu anapenda kutumia pesa yake sehemu salama na si kwenda sehemu na pesa yako halafu upigwe au uumizwe. Na mbaya zaidi naona hapa wadau wa Arusha wameshaanza kupigia debe kwa kuzitaja kabisa baa nyingine kwa majina zenye usalama zaidi.
 
Asante Sana Mkuu, Huku ndiko kushauriana na sio kuanza kulaumiana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…