Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Unaonyesha wewe ni mtu wa hovyo hovyo...Utaendaje picnic..Ukifika pale tu, hata kama ni mgeni, utajua pale sio sehemu ya usalama, parking yenyewe shida...pale ni chimbo la wezi, napajua toka miaka ya 90s huko.
 
Wanafuata Machangudoa tu, Arusha kuna migahawa mingi sana ina chakula kizuri sana..Utaendaje picnic? Hakuna chakula chochote cha ajabu pale.
 
Unaonyesha wewe ni mtu wa hovyo hovyo...Utaendaje picnic..Ukifika pale tu, hata kama ni mgeni, utajua pale sio sehemu ya usalama, parking yenyewe shida...pale ni chimbo la wezi, napajua toka miaka ya 90s huko.
Asante Sana watu Wa Hovyo kama Sisi pia ni watu Kaka

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huko Arusha utapata mwanamke wa maana kiasi akuchanganye akili?
 
Una akili za kisenge, unamuitaje mtu usiyemfaham mtu wa hovyo? Sababu ameingia picnic? Kwani kuingia sehem inasadiki wewe ni mtu wa aina gani? Embu wakati mwingine heshima kitu cha bure, ni stress hizi za kutokua na pesa au ni nini..pumbav kabisa.
Mkuu JB Mpiana
Jamaa nimemshangaa Sana, Kanizingua utafikiri mm na Yeye tunajuana. By the way Ndio maisha ya wanadamu kuwadharau wenzao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yaani Bar haina time na usafiri wa mteja?

Hapo hao wamiliki ndio wezi wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…