Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

Sometimes hizo bar kubwakubwa wamiliki wao ni sehemu ya wizi na wanapata commission kwa kila tukio huku wengine wakiwa ni wamiliki wa hivyo vikundi
 
Sometimes hizo bar kubwakubwa wamiliki wao ni sehemu ya wizi na wanapata commission kwa kila tukio huku wengine wakiwa ni wamiliki wa hivyo vikundi
Bila shaka hufahanu hayo mazingira.
Pale kuna baa nyingi mni na club uchwara.
Ukipita pale kuanzia saa 1 usiku machangu wamejaa kama kumbikumbi na hakuna parking rasmi yaani watu wanachomeka magari popote barabarani.
Ikimlaum mwenye baa unamwinea sababu wateja wa baa zao wanaingiliana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Duuh hii ndiyo bar nakaaga nikienda Chuga, itakuwaje sasa.!! Ila mm kama niko mwenyewe huwa nakaaga counter tu sina story na mtu
 
Mimi nimesoma na kukaa Arusha miaka mingi lakini ukweli usemwe kuna usela wa kipumbavu sana! Watu wanajiona wajanja na usela mavi hasa ikitokea ni mgeni utashaa.

Naona siku hizi nafuu sana maana zamani maeneo mengi ya starehe ilikuwa ni fujo fujo tu na lazima uwe na kampani ili uwe salama. Kama mnakumbuka kuna kipindi hadi Clouds Fm walisitisha matamasha Arusha sababu hiyo.

Siku hizi kuna ustaarabu sana na nafikiri wenyeji wenye exposure waendelee kuwa mfano na Polisi waendelee na doria za kutosha.
 
Mkuu watu wanajifunza kulingana na makosa, imeshatokea na nimejua ni pa hovyo Sana
Elimu ina gharama zake mkuu.
Mimi kamwe huwezi kunikuta bar hizi uchwara napendelea lounge tulivu na sehemu zangu ni kama.
Njooys, 40/40, kipong, Bills, tembo club nk.
Ni sehemu tulivu mno.
Hasa tembo club unakaa garden na kaubaridi kama upo Ulaya ndogo haha.


Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Yaan huo ni utumwa sasa,watu tumenunua magari ya kulewea we unasema tuyaache nyumbani kwa hiyo nipande boda au? ambaye naye kalewa.Kifupi mi nikilewa ndo ninacontroo balaa utafikiri gari ametengeneza babangu
Walevi wote hua tunasema hivyo hivyo kama wewe,lkn hua tunajidanganya sana.
 
Nature yao wana mambo ya ubabe flani hivi,sasa wakishapiga na pombe confidence zinawazidi.Hata mimi nimeathirika kisaikolojia kuwa Arusha kuna wizi wa magari,sasa nikiwa na gari huwa nakuwa sina amani yani napenda nipaki gari mahali ambapo nitakuwa naliona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…