Hii barabara inafika hadi waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero.
Barabara haipitiki imejaa mashimo, na madimbwi ya maji.
Tunaomba TARURA washughulikie hii barabara.
Grader zipo hapo ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka mwaka jana mpaka matairi yameisha upepo ila barabara hazitengenezwi.
View attachment 3546798