Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni


Usalama wa taifa ndo viongozi wa TEC
 
Hawa mabwana Huwa wanajifanya Tanzania ni Mali Yao na Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima walete chokochoko..

Ifike mahala upuuzi huu ukome
ni kweli ni ya kwao wamewekeza kwenye uwekezaji mkubwa ikiwepo mahitaji ya jamii wao kama taasisi lakini pia waumini wao hivyo wanayo haki ya kuvizungumzia na inawezekana kabisa wasitoe majibu yote kwa jamii wakahifadhi kwa kumbukumbu zao wakaangalia jinsi gani wanaweza kukabiliana na hali ilivyo.
kama mnakumbuka kabla ya kuanza mchakato wa katiba walikuwa tayari wanaandiko la zaidi ya kurasa 500.
ikumbukwe pia kanisa nilinauhusiano wa moja kwa moja na serikali kwakuwa Vatican wanaubalozi wao pia hapa nchini pamoja hivyo lazima ieleweke hivyo kwamba Kanisa Katoliki ni Jeshi kubwa na linaushawishi mkubwa si kwa Tanganyika pekee bali Dunia nzima.
 
Wasiyumbishe Serikali,Nchi sio Mali ya Kanisa
 
Pasuka na ufe

Ila tutapinga mikataba yote ya kinyonyaji bila kuogopa kwa sababu ni urithi wetu

Mtaitapika hiyo asali wajinga kabisa nyniyi

Unapiga huku umejificha chumban kwako kajiunge na wenzako waloandaman tuwapelele rumande mapopoma nyie
 
shehe inamankusweke
 
Wasiyumbishe Serikali,Nchi sio Mali ya Kanisa
Ni kweli, lakini amini usiamini, TEC ni miongoni mwa kundi la deepstate .. wanaushawishi sana kwenye maswala ya taifa hili. Rejea historia fiche ya taifa hili utakuja kuniambia ....Hawa ndugu zetu wakatoliki Wana nguvu sana ya kiushawishi. Refer waraka wa TEC kwa the departed ,the late .
 
Mbona uwekezaji wa gas ya Lindi waliyopewa wazungu hauzui sintofahamu!?..nyakati zimebadilika,siyo 70,80,90s hii,wao wakae,wanywe divai,wapige goti mbele ya sanamu,dp watapewa bandari
Hapooooo,,,, ndipooooo..talatanta .....nunuuuu Utajua Vaticanoooo Wana nguvu kiasi Gani?
 
Kwa sababu walijengewa mazingira ya Upendeleo na Nyerere so Nchi inatakiwa kutoka huko , sio Mali ya Kanisa la RC
 
Wasiyumbishe Serikali,Nchi sio Mali ya Kanisa
hawazi kuyumbisha wao wanachotaka ni kujua ukweli kwa kadri ya mazingira salama wayaonavyo ili ikitokea wametoa tamko kwa waumini wao wajue wameongea kitu sahihi na si kwa kukurupuka!
inawezekana hata hiyo agenda ikahailishwa kwa kuwa hawa jamaa hawafanyi vikao na ajenda zao zikajulikana kizembe namna hiyo. kinaweza kuwa kikao kazi na hasa ukichukulia maaskofu karibu wote walikuwa Roma na huko walikutana na Papa sasa huwenda ni kiako cha kichungaji cha kawaida kabisa.
 
kwa hiyo hata jambo likiwa baya wao kama viongozi wakae kimnya kisa muislam ndio rais. Kwanza hii inchi inaongozwa na rais na sio muislam atakoselewa kama rais wa nchi
 
Kwa sababu walijengewa mazingira ya Upendeleo na Nyerere so Nchi inatakiwa kutoka huko , sio Mali ya Kanisa la RC
ha..ha..ha... Nyerere hakuwapendelea Wakatoliki yeye ndiye aliyewadhoofisha wakatoliki kwa faida ya Watanganyika wote.
vinginevyo wakatoliki wangekuwa mbali zaidi ya hapa walipo kwa uwekezaji.
la msingi hapa tusigombane tuangalie na tutulie tusubiri hoja zitakazo jadiliwa kama kweli zipo zinaweza kutusaidiaje kama watanganyika kwetu sisi na vizazi vijavyo, kanisa halitegemei kushawishi maandamano bali linaweza kuwashawishi watu wasli na katika hili la sala hushusha hasira na mihemko inayoweza kuleta vurugu ndani ya nchi.
 
Mbona uwekezaji wa gas ya Lindi waliyopewa wazungu hauzui sintofahamu!?..nyakati zimebadilika,siyo 70,80,90s hii,wao wakae,wanywe divai,wapige goti mbele ya sanamu,dp watapewa bandari
Tamko halijatoka unaanza kuogopa. Kama wakiunga mkono?
 
Hawa mabwana Huwa wanajifanya Tanzania ni Mali Yao na Kila mara Rais akiwa Muislamu lazima walete chokochoko..

Ifike mahala upuuzi huu ukome
Katoliki sio wa kukemewa, shauri yako. Hata magufuli Kuna vingi walimpinga na alikuwa haelewani nao kabisa, hadi leo hii katibu wa TEC kitime anamponda magufuli
 
Hawa ni wanafiki tu na udini unawasumbua. Wamesikia Mwarabu anapewa bandari ndio roho zimewatoka. Pia, wanaona yale mambo yao ya kupitisha makontena yasiyo na idadi bandarini kwa kigezo cha misamaha yanaenda kuisha. Mbona hawakuita hiyo mikutano yao kipindi kile maiti zinaokotwa kwenye viroba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…