Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

Ngoja nikawacheki wanangu wa Mzimuni, Diplomasia na Yusufu Makamba. Ila hawa St Francis na Ilboru walitunga huo mtihani wao?
 
Haya ubao huo
 

Attachments

  • 5AED91D7-3C5F-4A6F-9B15-D8B2D0BD9870.jpeg
    5AED91D7-3C5F-4A6F-9B15-D8B2D0BD9870.jpeg
    147.4 KB · Views: 18
  • 959132A6-B7E0-4729-976D-BDAB98C13F28.jpeg
    959132A6-B7E0-4729-976D-BDAB98C13F28.jpeg
    171.7 KB · Views: 19
  • Kicheko
Reactions: K11
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]


cc Smart911
Mwl natumaini umevusha wanetu salama.
 
Division One za Point 7 zimezagaa, hii ni tofauti na enzi zetu.
 
kuna hii shule inaitwa ST. Francis Girls ya Mbeya, hii shule watoto 91 wote wamepata daraja la kwanza yaani Division one, mwanafunzi aliyepata Alama ya chini zaidi amepata One ya 11 na ni wanafunzi watatu (3)tu ambao wamepata madaraja ya kwanza ambayo siyo ya 7 na wao wana 10 , 10 na 11 basi.

FB_IMG_1706186229888.jpg
 
Mods NIACHIENI uzi wangu kama ulivyo, msipeleke popote! Mnanionea sana.

-Wote wamefaulu, wachacheeeee ndo wamefeli.
-I.7 kama zote........
-Shule kubao zina ufaulu wa daraja la kwanza tu basi.....
-Watajaa chuo cha sheria Tanga hadi watapwakuka. Wakishamaliza wanarudi kuja kuingiza nyimbo kwenye simu.
 
Tatizo ni pale watakapo hitimu alafu wanasiasa wawabie wajiajili kwa kuwa boda boda na wachoma mahindi dah ,aisee elimu ya nchi hii ni taka taka kabisa.
 
Kila mmoja anajua mfumo na content kwenye elimu yetu ushapitwa na wakati ila kila mmoja pia hajui njia mfumo sahihi upi na tunauanzaje. Wanachi na serikali Kwa ujumla hawataki kuingia gharama kubadilisha mfumo.
Kwakweli....
 
Sio lzm waendee Alevel
Wataenda chuo.

😅😅Wakasome science
 
Enzi zetu 1 za 7 o level zilikuwepo tu, ila hakuna kitu nilishangaa kama mwaka Jana nakuta eti Kuna shule pcm na pcb wamepiga 1.3 karibia wanafunzi wote... Miaka ya 2008 huko advance kupiga 1.3 aisee sio mchezo
 
Back
Top Bottom