Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mchungu huu Ila ndio ukweli ulivyo mwingine anamuona ni chukiUmeandika Uzi huu kwa chuki sana
Kwani ada za pale si ziko juu?Tatizo ni pale watakapo hitimu alafu wanasiasa wawabie wajiajili kwa kuwa boda boda na wachoma mahindi dah ,aisee elimu ya nchi hii ni taka taka kabisa.
Kama hakuna udanganyifu ulio fanyika, nawapa Hongera sana.kuna hii shule inaitwa ST. Francis Girls ya Mbeya, hii shule watoto 91 wote wamepata daraja la kwanza yaani Division one, mwanafunzi aliyepata Alama ya chini zaidi amepata One ya 11 na ni wanafunzi watatu (3)tu ambao wamepata madaraja ya kwanza ambayo siyo ya 7 na wao wana 10 , 10 na 11 basi.
View attachment 2882473
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hutaki tujadili jambo jema ? Au ulikosaga nafasi hapoKila mwaka matokeo ya form 4 yakitoka,
shule Hii lazima ijadiliwe, mmekuaje lakini?
Nimeshangazwa tu manake enzi zangu 1.7 zilikuwa hazizidi 15 nchi nzima ,pia siwezi chukizwa na matokeo Yao manake Sina direct affiliation na hao wahitimu...Cjaelewa, kwamba umechukia au umefurahia?!
Miaka hio walimu walikuwa wachache sanaaa, uhaba wa vitabu, mwamko duni wa wazazi kusapoti wanafunzi,Enzi zetu 1 za 7 o level zilikuwepo tu, ila hakuna kitu nilishangaa kama mwaka Jana nakuta eti Kuna shule pcm na pcb wamepiga 1.3 karibia wanafunzi wote... Miaka ya 2008 huko advance kupiga 1.3 aisee sio mchezo
Hehehehe aisee na hapo bado unasoma mazingira bila internet ,sasa hivi Kila kitu wanapata mtandaoniMiaka hio walimu walikuwa wachache sanaaa, uhaba wa vitabu, mwamko duni wa wazazi kusapoti wanafunzi,
Saizi dogo anaenda advance mzazi anatenga 300k anampa vitabu tu, kwann madogo wasifaulu,
Enzi zenu shule nzima kuna Chand 5, saiz kila mtoto ana chand
Nadhani ameshangazwa na ufaulu wa kiwango hicho kwa idadi kubwa ya wanafunzi.Cjaelewa, kwamba umechukia au umefurahia?!
Chuki kwa nani sasa?!!! Angalau ungesema nimeandika kwa hasira ningekuelewaUmeandika Uzi huu kwa chuki sana
Ufaulu wenyewe ndio huu wa divisheni foo za kumwaga? Ama kweli aliyeiroga nchi hii kafa.Ufaulu umepanda hadi kufikia asilimia 86.78 ukilinganisha na mwaka 2022 ufaulu wa watahininiwa umeongezeka kwa asilimia 0.87 ambapo idadi kubwa ya wasichana wamefaulu huku wavulana wakifaulu vizuri zaidi katika masomo yao.
kazi na sala.ukitaka matokeo hayo kajifunze kwa wakatoliki wenye elimu yao.kuna hii shule inaitwa ST. Francis Girls ya Mbeya, hii shule watoto 91 wote wamepata daraja la kwanza yaani Division one, mwanafunzi aliyepata Alama ya chini zaidi amepata One ya 11 na ni wanafunzi watatu (3)tu ambao wamepata madaraja ya kwanza ambayo siyo ya 7 na wao wana 10 , 10 na 11 basi.
View attachment 2882473
Kukosa maarifaKuna Whatsapp group 1 la soka nimo, unakuta mtu anakuja anaulizia Matokea ya Match... anaemjibu analeta screenshot ya LIVE SCORE... sa sielewi anawezaje kuingia Whatsapp lkn hwz kuingia live SCORE ama Google
Ndo Mambo mapya siasa mpaka ktk elimu, miaka yetu ukipata dvs one unaweka historia kijijini/mtaani miaka kadhaa!!Nadhani ameshangazwa na ufaulu wa kiwango hicho kwa idadi kubwa ya wanafunzi.
Ni jambo la msingi kuwa na mashaka ili kujiridhisha; Je? Ufaulu huo ni wa kihalali au kuna udanganyifu?
Tusishangilie na kusherehekea kumbe kulikuwa na udangqnyifu wa hali ya juuu.
Ahsante kwa taarifa...
Nyie mlikuwa hamna miondombinu wezeshi ya kufauluNdo Mambo mapya siasa mpaka ktk elimu, miaka yetu ukipata dvs one unaweka historia kijijini/mtaani miaka kadhaa!!
Sasa dvs one ni Jambo la kawaida sawa na bure tu 😂😂