MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mwl natumaini umevusha wanetu salama.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
cc Smart911
Diplomasia mwaka huu kazi wanayoHaya ubao huo
Wana hatari sana mkuuDiplomasia mwaka huu kazi wanayo
Kwakweli....Kila mmoja anajua mfumo na content kwenye elimu yetu ushapitwa na wakati ila kila mmoja pia hajui njia mfumo sahihi upi na tunauanzaje. Wanachi na serikali Kwa ujumla hawataki kuingia gharama kubadilisha mfumo.