Ifike mahala sisi kama Taifa tujielewe nini tunataka.Katibu Mtendaji Baraza la sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni, Dkt.Omar Adam leo kwenye Asubuhi Njema ya ZBC ameelezea mengi yanayohusu sekta ya sanaa, filamu na namna wanavyosimamia Mila, Desturi na Utamaduni wa Zanzibar.
A
Mwaka mmoja.Hicho kibali kinakuwa hai kwa muda gani ukishalipa?
Wamasai huko kazi wanayo maana kusuka ni jadi yao!Haifai kuingilia uhuru wa Mtu.
Aisee..Aidha, amebainisha "Askari wanakamata wanaume wote wanaosuka nywele kama za wasichana, Baraza la sanaa hatupendelei hilo na kuna kibali maalumu cha kusuka nywele ambacho ni milioni 1 na tumeweka bei hiyo ili kuwakomoa, sasa utachagua mwenyewe utoe milioni usuke au ununue kiwembe chako unyoe"
Watalipia tu kibali Tsh m1Kwa hiyo akina nasib na rajabu hawataruhusiwa kukanyaga zanzibar wakiwa wamesuka. Kusuka kwao mwisho kimbiji
"... sio utamaduni wetu ...". Waunde kabisa wizara inayoshughulikia masaala ya dhambi kama kulee ili pia wasaidie kukamata wasiofunika vichwa vyao sawa sawa!
hatashindwa, hela wanazo waleWatalipia tu kibali Tsh m1
Kumbe kwa wanaume kusuka sio shida uwe na hela tu. Waislamu bwana!Katibu Mtendaji Baraza la sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni, Dkt.Omar Adam leo kwenye Asubuhi Njema ya ZBC ameelezea mengi yanayohusu sekta ya sanaa, filamu na namna wanavyosimamia Mila, Desturi na Utamaduni wa Zanzibar.
Islamic State (IS)"... sio utamaduni wetu ...". Waunde kabisa wizara inayoshughulikia masaala ya dhambi kama kulee ili pia wasaidie kukamata wasiofunika vichwa vyao sawa sawa!