Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Ifike mahala sisi kama Taifa tujielewe nini tunataka.Katibu Mtendaji Baraza la sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni, Dkt.Omar Adam leo kwenye Asubuhi Njema ya ZBC ameelezea mengi yanayohusu sekta ya sanaa, filamu na namna wanavyosimamia Mila, Desturi na Utamaduni wa Zanzibar.
A
Tunafuata mila na desturi zetu ama tunaflow na mabadiliko ya kiduni.
Sielewi Zanzibar wanafuata kipi.