Usipende kunitajataja kama huna jambo la maana!
Unajichelewesha mwenyewe. Usimtaje mtu kwenye jambo asilohusika nalo wala kulijua.Mnatuchelewesha!
🤣🤣🤣Kuna Mzungu katajwa humo? Ametumia lugha kubwa ili aeleweke ndani na nje ya nchi. Tanzania ni mwanachama wa jumuia za kimataifa!
Umeishaambiwa na Maria Sarungi.Ujumbe uko Imara lakini Hii Editing Ya Barua na Picha yote imefanywa na Nani?
Account ya X kuna moderators ndio wana Run izo social media, Nadhani hii message lissu amewapatia mawakili wake nao wameona wa convey to the Public kwa style, Nakubali kuwa ni Legit kabisaKaandika hata kwenye akaunti yake ya mtandao wa X.
Unajichelewesha mwenyewe. Usimtaje mtu kwenye jambo asilohusika nalo wala kulijua.
Jingalaomke wa lissu yupo wapi?
Ujifunze uandishi. Aya ya pili alishawapa hiyo pole. Aya ya tatu anawataka maaskofu waaendelee na kupaza sauti. Alitakiwa kupanua mawanda. Vinginevyo ni udini tu.Ndiyo wenye mtu wao aliyepigwa. Sasa afiwe Ngurumbembe Kidumu pole uende ukampe zambarau mapepe?
Ni mantiki tu!
Hili swali kama wewe ni mwanaume na umeliuliza, basi inatia shaka Sana!mke wa lissu yupo wapi?
C ndo wewe VIP unataka kumpelekea kipoozeomke wa lissu yupo wapi?
Sasa mawanda ya nini wakati aliyeshambuliwa ni Father wa kikatoliki?Aya ya tatu anawataka maaskofu waaendelee na kupaza sauti.
Wewe hapa unaandikamke wa lissu yupo wapi?
Fafanua mkuu sijakuelewaKWENI NYIE CCM INAWATOA WAPI?UMESOMA MPAKA LEVEL IPI? HUO KAMA HIYO NI SCANNED LETTER YENYE NAKISHI?
Lissu anawatia Moyo kama Mtume Paul😀😀Sasa mawanda ya nini wakati aliyeshambuliwa ni Father wa kikatoliki?
Amewataja maaskofu maana aliyeshambuliwa ni Katibu wa Baraza la Maaskofu wa kikatoliki, ambao walitoa waraka wa kuirejesha njia Kuu Serikali.
Kwa muktadha huo, Lissu anawatia moyo maana hata wao inawezekana watashambuliwa ama anaonesha kuwa kushambuliwa kwa Kitima kunatokana na waraka wa Maaskofu wa Kikatoliki ambao yeye Kitima ni Katibu wao.
shaka umeiweka weweHili swali kama wewe ni mwanaume na umeliuliza, basi inatia shaka Sana!
Kule hamna lazima wala hiari ila kuka utakula ukikataa utaulizwa kwa nini na utabembelezwaHivi gerezani mtu kula ni lazima? Au hiari?
Ukiangalia unaona haina Editing? labda unielewe maneno hayana Edit yoyote na Editing kwenye Barua za public ni lazima, jibu ni mepata Nani kafanya Hio kazi.....Umejuaje kumefanywa 'editing'?
Au una lenga kitu kingine kuhusu hiyo barua badala ya neno 'editing'?
Nchi ipo kwenye wimbi la utekaji, furaha ya watu kufuatilia mei mosi itatoka wapi.Umaarufu wa Kizimkazi umeshuka sana , Juzi Mei Mosi na Jana alikuwa na matukio lakini havumi kama Maaskofu ,Mdude na Lissu