PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
P.S. Nisipopelekwa kortini Jumanne kama inavyostahili, nitaanza mgomo wa kula."
 
Free Him Now.
 
Hili igizo wamelikosea sana kwa kuchapisha barua. Wangepost hiyo barua kama ilivyoandikwa na Lissu kwa mkono wake. Maria Sarungi ajipange kwenye kufanya maigizo. Na katumiwa hiyo barua yeye kama nani ndani ya CHADEMA au familia ya Lissu? Mwenyekiti anatumaje ujumbe kama huo kwa mtu baki? CHADEMA mnajichanganya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…