Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Hapana, ila tulikuwa tunaelekea Huko.

Bahari mbaya ndo hvy ameshikwa Akili na watu wa humu hvy akaona tuachane mana anadhani Nami ntakuwa kama hao wengine wa humu ety labla ntakuja kumdhalilisha Humu.
Huu mtandao watu wana uoga hata wa kuonana tu!. Mana utofauti wa wanaume na wavulana humu ni mdogo. Na utofauti kati ya wavulana na wanawake haupo kabisaaaaa. Kuna kenge, dipshit! Fucking hole of shits kibao humu.


Il mm nimepata mke humumhum na wiki ijayo naoa sahiv niko nae vacation Labella
 
Kama ni wewe unaweza kuniambia kitu ambacho nitajua ni wewe.
Kaka angu namtafuta uzuri yeye aliniambia kila mwaka ana id mpya
ษสžษสษฏ ษืŸแด‰สž แ—กI แด‰ฦƒuแด‰สษฏ ฮฟส‡ฮฟส‡n ษuษ ฮฟสžษสŽ ษสžษสž ษืŸแด‰

ห™วuแด‰ฦƒuแด‰สษฏ วแด‰ษนแด‰qnsษฏnส‡ แด‰uษษฅpษu 'ษษฅษฅษษฅษษฅ
 
Sio wewe nimeamini
 
Hebu ngoja kwanza twende taratibu....ni umeanzishiwa manyuzi kuwa we ni shoga?, mwanaume, jobless?

Hao ni wanawake au wanaume?

Na je hata kama ni kweli inawahusu nini?๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ningekuwa wewe ningeyapotezea, hivi unafanya kuyapa kichwa!
 
Unasumbuka namna hii kwa post za JF??? I think you are better than that Seran
 
Achana nao wasengee hao shost...usipanikii
 
Eti Pawa mabula jf bana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Humu mafala n wengi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ