Ina maana kuwa watu wa Zitto ama yeye mwenyewe wanaweza kui leak hiyo barua kwa madhumuni yao binafsi ya kisiasa?Haya ni mazingira yanayojengwa ili watu wamtilie shaka Dr. Slaa! Mimi najiuliza Zitto alikuwa nje ya nchi hadi akiandikie chama barua, au alinyimwa fursa ya kushauriana na chama hadi atoe maelekezo kwa barua, kwani maamuzi ya kumsimamisha mtumishi ndani ya chama yanafanywa na Slaa peke yake au ni secretariet yote ambayo na yeye Zitto ni mmoja wapo! Nasikitishwa na baadhi ya jugdement za Zitto Kabwe! Nakiri mimi ni mmoja wapo wa watu wanaoamini uwezo wa Zitto kwenye siasa, na kwa kiwango kikubwa ali ni inspire kujikita kwenye siasa.
Chadema wapo kwenye wakati mgumu mpaka Zitto anasema kuna kirusi ndani ya chama wewe unaleta taarabu.
...... kwamba kuna kirusi ndani ya chama kilicho karibu sana na viongozi wa chama chenye kazi moja tu, yani kuonyesha kuwa CHADEMA kuna migogoro na hatimaye kusambaratisha chama'. Kirusi hiki lazima kina nafasi andamizi au kipo karibu sana na viongozi waandamizi. Inawezekana kabisa kirusi hiki kinahusika na suala zima la Lwakatare katika kupanga, kuendesha na kutekeleza mpango mzima. Maswali kama ‘kwanini Dennis Msacky na Zitto ndani ya Video ya ‘Lwakatare' lazima sasa yaanze kutafutiwa majawabu.[/QUOTE Zitto, kauli yangu ni moja tu kwako. Bem Saanane humuwezi, alishakupita, kwa sasa wewe sio saizi yake tena. Acha kucheza ngoma ya CCM kiujanja ujanja
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KITU KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.
NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.
Ok....
Hongera sana mkuu kwa kuja kusawazisha mambo mapema...
Niliwahi kusema mapema kuwa the central point ya mikakati ya CCM kuivuruga CDM ni kwa kumtenganisha Zitto na Chama... Nashukuru Zitto bando yupo Imara ingawa ni majaribu magumu sana...
Niliwahi kusema tena kama inavyonenwa kuwa "Sio kila anayesema Bwana Bwana ataurithi ufalme wa mbinguni" basi pia "Sio kila anayesema Slaa, Slaa ni mwenzetu katika CDM"... Na leo naongeza usemi kuwa kama ilivyoandikwa "Watakuja wengi kwa jina langu, lakini muwe makini maana ni waongo"... Wafuasi wa CDM tujue kuwa "Watakuja wengi kwa jina la Slaa, lakini, kahika wao ni wana wa yule ibilisi, CCM"
Walijitokeza watu hapa wakajifanya kuwa karibu sana na Dr Slaa, na kumshambulia Zitto kwa nguvu nyingi sana. Wanachadema wengi 'walizolewa' nao kwa bahati mbaya, lakini wachache tulioziona nyufa nyembamba kwao, tulisimama imara kuitetea CDM, bila kumtenga Zitto,.. tulitukanwa sana na hadi sasa kuna watu wananiona mimi kama msaliti.
Barua ya Zitto iliyowekwa hapa, na maelezo yake haya yanathibitisha umuhimu wa wanachadema tusimuamini kila mtu anayekuja hapa akijifanya kuwa yeye yuko karibu sana na Slaa, huku akiponda viongozi wengine wa chama. Hiki ni kielelezo kuwa ndani ya CDM, kuna watu bado wanahakikisha kuwa wanakigawa chama kwa kumchonganisha Zitto... Kama Zitto anasema kuwa barua aliyomwandikia Slaa ilikuwa imesainiwa, lakini barua hiyo tumewekewa hapa ikiwa haijasainiwa, ina maana kuwa kuna mtu alimsomea mtu kwa simu kilichokuwa humo ndani, na huyo aliyesomewa akaandika barua hiyo...
Kama mtu aliyeweka video ya Lwakatare ndiye aliyeweka barua ya Zitto... Kama barua ya Zitto imewekwa wka lengo la kuonyesha Zitto haungi mkono chama, ina maana kuwa lengo ni kumchonganisha Zitto na chama na wanachama. Ukiangalia video ya Lwakatare, utaona lengo ni kuonyesha kuwa CDM inamchukia Msaky kwa sababu yuko karibu na Zitto. Matendo yote haya mawili yana lengo moja... kuhakikisha Zitto anatenganishwa na CDM...
Namchukuru sana Zitto kwa kuendelea kuwa imara ndani ya chama, nawashukuru wanachadema wanaoamini kuwa Slaa ndiye chaguo la wengi katika kuiongoza CDM kuwatetea wanyonge, lakini viongozi wengine pia akiwemo Zitto ni muhimu sana katika kuhakikisha uimara na umoja wa CDM unadumishwa na nawaomba CDM wajue kuwa TISS wapo pale makao makuu Kinondoni pia, wanaitana Kamanda, wanasalimiana Peoples power, wanashiriki M4C, wanajifanya kuwa wanamuunga mkono Slaa na CDM kwa ujumla... lakini tusipokuwa makini kuna siku tukishakusambaratika, tutainua macho tuwaone wale "Wenzetu" wakiwa wananeemeka katika utawala wa Ibilisi...
Wake up people.... CCM hawatakubali kuachia madaraka so easily kama tunavyodhani...
Hapa hata wakiwekeza Vipi Chama kimezeeka,hakiwezi kuchukua nchi 2015,labda wamsimamishe mzee wa mvi hapo wanaweza wakafurukuta,wakimtosa wameula wa chuya.Kaka..hakuna coincedence dunian..everythings happen for a reasons,ccm wamewekeza pesa nyingi sana kurubuni vijana wa chadema..na vijana wengi hatuaminiki kaka
Hapa hata wakiwekeza Vipi Chama kimezeeka,hakiwezi kuchukua nchi 2015,labda wamsimamishe mzee wa mvi hapo wanaweza wakafurukuta,wakimtosa wameula wa chuya.
Powa Kamanda umeweka ukweli wa mambo hicho kirusi ni cha kumulika sasa na sio kesho,Jaribuni kukaa wewe Zito,Dr Slaa,Mh Mbowe na wale viongozi wengine wakubwa wakubwa then ongeleeni jambo tu la kawaida then likitoka nje ya pale lmpige kura za siri nani kalitoa kati yenu hapo then hiyo kura ifanyiwe kazi pasipo kumuambia nani kapata kura nyingi hapo Mahakimu ni wewe Zito,Dr Slaa na Mh Mbowe hata kama mmepigiwa kura na nyie ifanyieni kazi hadi mtagundua ni nani then baada ya hapo mnamtega na issue flani ikitoka basi mia kwa mia atakuwa ni yeye.Mh Zito we need to see you on M4C wewe mwenyewe na uwe ndio kiongozi siku hizo anzeni na mkoa mpya Simiyu
...... kwamba kuna kirusi ndani ya chama kilicho karibu sana na viongozi wa chama chenye kazi moja tu, yani kuonyesha kuwa CHADEMA kuna migogoro na hatimaye kusambaratisha chama'. Kirusi hiki lazima kina nafasi andamizi au kipo karibu sana na viongozi waandamizi. Inawezekana kabisa kirusi hiki kinahusika na suala zima la Lwakatare katika kupanga, kuendesha na kutekeleza mpango mzima. Maswali kama ‘kwanini Dennis Msacky na Zitto ndani ya Video ya ‘Lwakatare' lazima sasa yaanze kutafutiwa majawabu.[/QUOTE Zitto, kauli yangu ni moja tu kwako. Bem Saanane humuwezi, alishakupita, kwa sasa wewe sio saizi yake tena. Acha kucheza ngoma ya CCM kiujanja ujanja
acha kumtisha wewe. hapo wapi kamtaja ben saanane? au wewe ndo unatoa majibu kuwa mtu huyo ni ben
Ina maana kuwa watu wa Zitto ama yeye mwenyewe wanaweza kui leak hiyo barua kwa madhumuni yao binafsi ya kisiasa?
rudi kwenye ile thread ya video then nenda kwenye thread ya barua halafu ndio uje uongee. Yeye alifanya hivo, it only takes 2 min.Halafu ili la utaalamu wa kugundua kuwa aliyeleta video na hii barua ni mtu mmoja kajulia wapi?
Nijuavyo unless JF admins wamempa hiyo siri.
Exactly,ni movie ambayo wengine wetu tumeshaiona mwisho wake utadhani tumei producue!:wink:waliolikisha ni kambi ya Dr SLAA kazi imeratibiwa na JOSEPHINE MUSHUMBUZI na kutekelezwa na BEN SAA TISA
zitto sio wa kumuamini hata kidogo inawezekana hata aliyepost hiyo barua ni yeye na huyo huyo ndo bukoba boy.anatafuta sababu ya kufukuzwa ili ahamie nccr na akamilishe ndoto yake waliyoipanga na ccm kugombea urais na kupunguza kura za cdm. Mwanahalisi iliwahi kuwaonya cdm kuhusiana na huyu jamaa
ni kweli kabisaViongozi wa chama wanaweza kua na nia hiyo ila sababu wananchi wamechoka na utawala uliopo wanashabikia bila kufikiri. I am so sad when I see ushabiki unao endelea hapa, watu wakiamini wanakisaidia chama kumbe ndio wanaharibu. Difficult questions must be asked (and answered to) ili kujenga chama. Kama wanachama watakubaliana na kila kitu kinacho semekana just because it is in favor of chama, au kama watapinga kila kitu just because it is against chama basi chama kitakua dhaifu sababu hawatajenga some of the most impostant skills it takes to lead: defending your position and convincing with reasoned arguments.