Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
hawatakuja kukaa pamoja na wakaelewana Mbowe, Zitto na SLAA. Mbowe na Slaa wanamwona Zitto ni threat kwao

Mkuu kusema kweli Zitto sio mtu wa kumwamini inawezekana yeye mwenyewe ndio anajiwekea nakala za barua zake humu pia nina wasiwasi mkubwa yeye ndio Bukoba Boy iweje aje haraka hapa na kusema mtu yule yule aliyeweka ile movie kwa youtube ndio huyo huyo aliyeweka barua yake,Hapa mie huyu jamaa namshuku niko na kisa cha ukweli sitakisahau maishani mwangu wakati niko High School ya Boys ambayo ilikuwa bording,tulikuwa tukifunga shule kila mtu anapeleka godoro lake kwa bweni moja hivi na kusaini kwamba kaweka pale tarahe hiyoo nk,sasa basi wakati tunafungua shule kuna jamaa kaingia kachukua godoro lake bila kusaini then later on kaenda ripoti kuwa kaibiwa godoro kaulizwa ulisaini wakati unachukua kasema hapana ila nimecheki kupitia dirishani na kuona halipo pale nilipoweka kaambiwa utawezaje kutambua godoro lako wakati karibu yanafanana na jina liko upande mwingi wa godoro lako.then kambiwa asubiria ili wote wakichukua magodoro yao litakalo baki ni lake lakini watu tukachukua na hakuna lililobaki baada ya uchunguzi kumbe alijiibia mwenyewe so huyu jamaa namfananisha na Mh Zito simwamini hata kidogo japokuwa nilimwambia akaa na wenzake.
 
pole kwa kukuchefua

Hii ni JF, utegemee kuchefuliwa sana tu, maana tuna mawazo na mitazamo tofauti
 
Mods wanajitahidi kufuta coment zangu sana ila nawahakikishia chama kimeshakufa kimebakia jina na source ya kufa ni padri slaa, muimba kwaya Ben mzee wa kanisani Mtei bila kumsahau muuzaji wamiili ya wanawake mbowe.
 

sasa hapo unamwamini nani?
 
Lwakatare aachie nafasi ya Ukurugenzi abaki mwanachama wa kawaida wa Chadema
 
Mods wanajitahidi kufuta coment zangu sana ila nawahakikishia chama kimeshakufa kimebakia jina na source ya kufa ni padri slaa, muimba kwaya Ben mzee wa kanisani Mtei bila kumsahau muuzaji wamiili ya wanawake mbowe.

Mods wanafanya vizuri kwa sababu taarabu yako melody imechuja wana JF angkupa Ban kabisa,
 
Mods wanajitahidi kufuta coment zangu sana ila nawahakikishia chama kimeshakufa kimebakia jina na source ya kufa ni padri slaa, muimba kwaya Ben mzee wa kanisani Mtei bila kumsahau muuzaji wamiili ya wanawake mbowe.

Aiseeeeeeeee
 
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KITU KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.

NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.

Li Ben Saanane je umelisahau wapi?
 
Mods wanajitahidi kufuta coment zangu sana ila nawahakikishia chama kimeshakufa kimebakia jina na source ya kufa ni padri slaa, muimba kwaya Ben mzee wa kanisani Mtei bila kumsahau muuzaji wamiili ya wanawake mbowe.

Mkuu,

Tafadhali yaache hayo. Yatatuharibia thread. Focus iwe kwenye kumshinikiza dr. Slaa ajiuzuru kwa kushindwa kutekeleza wajibuwake wa kutunza siri za ofisi.
 
Kazi ya kuvuruga cdm imebaki inafanywa na mjinga mmoja kwa jina la Ben Saa 8
 
sasa hapo unamwamini nani?

Hapo kama ulivyouliza swali lako bila kumumunya maneno sijui aaah zikipanda juu au zikishuka chini hadi mitaa ya mara Sahare mara Makorora mara Manzese jibu ni kwamba namwamini Dr Wilbroad Slaa na Kamanda Mbowe 100% kwa kuwa hakuna mtu/watu wa kuwarubuni iwe kwa pesa au kwa kauli taarifa ni hayo tu Mgosi wa Kaya.Kama Mbwai Mbwai na iwe.
 
hapo kwenye red, watu wanataka kuokoa uhai na maisha yako ambayo yanatafutwa kwa udi na uvumba
 
Li Ben Saanane je umelisahau wapi?

Ben Saanane is a fish. Hana influence yoyote.

Tatizo ni Dr. Slaa. Anaacha siri za ofisi zivuje kwa lengo la kuchafua watu asiowapenda ndani ya chama.

Ni wakati muafaka wa Dr. Slaa kujiuzuru kwa kushindwa kutunza siri za ofisi.
 
Hapa kuna watu wawili tu watakuwa wanahisiwa,samahani lakini nadhani ni Dr Slaa na Ben Saanane.

Lets wait and see...

jmushi1,

Sipendi kuandika sana mambo yanayonigusa moja kwa moja kwenye mtandao.Huwa ninakereka sana na kusingiziwa huku kunakotokana na jitihada za watu ambao wako frustrated.

Sijui ni kwanini mtu anihisi katika hili. jmushi1,sijajua ni kwanini umenihisi.Pengine una vigezo

Naelewa una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.Na huku JF tumepambana sana pamoja tukiwa na Kichuguu na @Rev.Kishoka.

Wewe si mtu muoga,hebu sema hii conclussion umefikiaje

Kwa wanajamvi:
-Mimi sijahusika kwa lolote

-Mimi ni miongoni mwa watu wanaopinga maswala senstive ya chama kuwekwa public

-Kuna watu ambao hawaoni aibu katika hili.Akina my web , TUNTEMEKE, rais wa tano, Fringe, nice2 MsemajiUkweli , Shonza n.k wanajua huu mchezo wa kuanika vitu ambavyo havipo for public consumption humu.Hawa niliowataja ni ID za kundi fulani mahsusi

-Sijawajahi kupata access ya barua au docoment nyeti za chama changu na hata nikikutana nazo kwa sababu yoyote ile siwezi ku-ziweka public.Nakipenda chama changu,CHADEMA ni mti wenye matunda ambao nimekalia tawi lake.Siwezi kulikata kwa namna yoyote ile,ni bora nife kwa risasi,tindikali n.k kuliko kuvunjika kiungo cha mwili kwa upumbavu wa kukata tawi nililokalia.

Nawaachia wanaocheza michezo hii waicheze.CHADEMA tuendelee kuwa imara
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…