Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Pia tulijua1: Daud Balali yupo hai na aliyemuona walimuua Prof2: Mtoto wa Mkuu aka mzee wa sheli za mafuta kukamatwa na madawa ya kulevya kwa wazee wakutegeneza vifaa feki3. Wazee wa kutengeneza vifaa feki kusain mikataba ya kifeki na Mr. Magogo baada ya kipengele no.24. Wanaouza madawa yakulevya ni vigogo wa selikali5. Aliyejega gorofa kalibu na ikulu ni Mkuu!!!!!!6. .......Ukweli huwa haufichiki
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mnyakatari unavosema Zitto ameweka kikosi kazi chake kuweka hiyo barua mtandaoni inamaanisha hata ile clip ya Rwakatare kiliweka kikosi kazi hiki hiki unachosema ni cha Zitto kwasababu ID iliyoweka video clip ya Rwakatare na ID iliyoweka barua ya Zitto ni same ID..kwa hiyo unachotaka kutuaminisha ni kipi mkuu?
 
Mzee wewe ndo IQ yako ndogo, utawalamba mpaka masabuli hao wakuu unaowatumikia. Pole sana na Kama utabili wa hali ya hewa vile wa bongo ndo hisia zako zilivyo. Na usipende sana kila mtu aandike ili akuridhishe. Concentrate na hao wanaokupa kiburi kokote kule uliko. Ndiyo boc. Watu tumeenda shule, Mungu katupa uwezo wewe ututukane??? Pole sana
 
Pole wana CHADEMA mtaweweseka saana. Leo Zitto anabembelezwa kukinusuru chama. Ni katika mtandao huu huu mlipiga kura mfululizo eti slaa ni zaidi ya Zitto sasa kikowapi
 
Mkuu kama ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za ndani za chadema pamoja na matukio ya hivi karibuni, na kama umeisoma post iliyoweka hii thread utagundua kuwa vita ya Ben Saanane na Zitto ni kubwa
 
Last edited by a moderator:

Hapo pekundu sio wewe mwenyewe kweli?
 

Mwigulu alikwisha wai kusema mkanda ameupata kupitia kiongozi wa CHADEMA, je ninani?wanajamvi naombe msaada uwenda kirusi tutampata! Zito anasema id iliyotuweka video ya lwakatare inafanana na iliyo post barua ya zito inayofanana na original,kwa mm nachanganyikiwa. Kuna mpumbavu mmoja amesema Josephine anahusika,yote aya kutaka kuaminisha uma yakwamba dr.slaa anahusika kupitia mchumba wake.Aya mambo yanajirudia kumbukie Dr.Slaa alikwisha wai kuzushiwa inshu kama hii kupitia mke wake aliye kuwa kada wa CCM,kwa mbinu hii wana-CHADEMA kuweni makini.Ila ninaendelea kuwa na wasi wasi na zito uwenda akawa pande mbili,mawazo yangu tu wakuu msinihukumu vibaya.Sipendi kuona CHADEMA inagawanyika ila ninawasiwasi na Zitto huenda akawa anatumika.someni kwa makini utetezi wake utaona
 
You're in Dreamland. Dude.

jmushi1 Kuna watu wana talanta ambazo zinawawezesha kujenga hoja na wajinga wakakubali.

Nothing will take away from you. Uliingia ndani kwa mlango wa double agent na utatoka kwa mlango huo huo.

HOLD ON TIGHT TO YOUR DREAMLAND, even though tawi la mti uliokalia liko karibia kuvunjika.

I could actually see it coming.
 

Mkuu nashawishika kuungana na wewe kwani kuna maeneo mengi kwenye maelezo ya Zito kuhusu issue hii ambayo kwa ujumla wake yanaleta maswali kuliko majibu.
Asilimia 60-70 ya maelezo yake ni ya kujikanganya.

-Kulikuwa na ulazima gani yeye kuandika barua(Naibu katibu Mkuu) alishindwa nini kumwona Katibu Mkuu uso kwa uso!
-Kiharusi ndani ya Chama-maelezo hapa yamekaa kiuzandiki-je naye si sehemu ya viongozi!
-JF inamwomba kutoa ufafanuzi ? hapa pananipa shaka.
-Amefanya uchunguzi ID iliyoweka barua yake ndiyo iliyotumika kuweka Video ya Lwakatare kwa hiyo........?
 
Mods wanajitahidi kufuta coment zangu sana ila nawahakikishia chama kimeshakufa kimebakia jina na source ya kufa ni padri slaa, muimba kwaya Ben mzee wa kanisani Mtei bila kumsahau muuzaji wamiili ya wanawake mbowe.
Nna uhakika huwatendei haki watz wenzako na waanzilishi wa jukwaa hili..
siamini pia kama unawatendea haki wazazi wako na dini yako..
lakini zaidi unachokifanya ni sawa na ubakaji kwa ubongo wako kwa sabbu naamini wewe sio taahira, unaulazimisha kufanya mambo tofauti na uwezo wake..
 
Mkuu kama ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za ndani za chadema pamoja na matukio ya hivi karibuni, na kama umeisoma post iliyoweka hii thread utagundua kuwa vita ya Ben Saanane na Zitto ni kubwa

Mzito Kabwela nilichouliza hivi kinaendana na maelezo uliyoyatoa kweli?
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane wewe kazi yako huwa ni kuhaha na kuhangaika na watu tu... naona ume ni mention somewhere. Ulianza kuniita mimi Zitto ukidai una ushahidi sasa umehama mpaka kuniweka kwenye kundi. Mambo yako unayoyafanya usifikiri kila mtu anafanya upuuzi wako. Deal with your own issues.
 
Last edited by a moderator:
Hii nimeipenda. Naona Mh. Zito unakubaliana na ule usemi kuwa kikulacho ki nguoni mwako. CHADEMA inabidi kuimarisha ulinzi na kuchunguza mwenendo wa kila kiongozi. Umaskini wa watanzania unatumika na mafisadi kuliangamiza taifa hili. Hivyo ni muhimu tukajua kuwa mafisadi waloiteka CCM hawako tayari kuona kuna chama chochote chenye kulinda maslahi ya wananchi kitasimama. Watatumia fedha zao chafu kuivuruga CHADEMA na chama chochote kile chenye malengo sawa.

Msimamo wa kamati kuu ni mzuri ila kuna umuhimu wa kukitafuta kirusi kilichopo ndani ya kamati kuu kinachotaka kuwaaminisha wafuasi wa CHADEMA kuwa ndani ya CHADEMA mambo si shwari.
 
Mnamficha wa nini muhusika wa chezo lote hili ni Ben Saanane. Yule ni nyoka wa mdimu na hii dhambi soon itamgeukia.
 
Zitto umeni impress! I trusted u and sitaacha kukutrust! Wewe ni kichwa na sisi tuko nyuma yako, tumeshachat mala nyingi
 
Big up sana.

Sent using wireless by wire
 
Si ajabu ni Shibuda huyu!!!...Chezeya Magamba weye!!!! Wako tayari kutumia hata mabilioni ya pesa kuhakikisha wanaisambaratisha CHADEMA kabla ya 2015. Huyu kirusi ni hatari kubwa sana kwa CDM ni lazima mikakati ya nguvu ifanywe haraka sana ili kukiondoa kirusi hiki ndani ya chama.

 
Umefanya jambo jema sana kaka kwa kulitolea ufafanuzi hili jambo. Kazi iliyobaki ni kumtafuta huyo kirusi.
 
Shibuda yuko karibu na kiongozi yupi mwandamizi? Zitto ametaja mtu kuwa na multiple ID, we kwa akili yako unadhani Shibuda anaweza hata kutumia Kompyuta? Shirikisha ubongo mkuu..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…