Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Saydnaya prison.Assad alikuwa katili sana.​

Mtu dhaifu siku zote hukimbilia kujificha kwenye dini au kabila alisema mwalimu Nyerere .nadhani hii mada imekuzidi uzito maana hakuna popote nimeongelea mambo ya dini Mimi ila nashangaa unaleta habari za wavaa kobazi . Nilitegemea umesoma unikosowe kwa hoja nilizotoa lakini ndio uwezo wako ulipoishia haya Kila la heri kijana.
Kobazi wa ajabu kweli wewe umem quote Nyerere yule adui wa waislam?
 
Really, are you serious?

Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?

Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?
Ya kwasasa wamagharibi walijipanga Sana kama ukraine kumkomoa Iran na Urusi bahati nzuri intelijensia za urusi na Iran wameling'amua hilo mapema, wameondoka na Assad na mabilioni ya dola na dhahabu yote waanze upya western limewauma sana hilo😆
 
Ngoma ngumu alishazidiwa. Kama angetaka kuachia madaraka angeachia siku ya kwanza kwa hiari si kwa kufurushwa ikulu na kukimbia pasipojulikana....
Urusi alianza kushambulia misafara inayoelekea damascus na allepo ili kuondoa mali zote zikiwepo pesa na dhahabu yote ya Syria baada ya zoezi kukamilika ndio ikafuata oparation ondoa Assad damascus ukitaka kujua warusi nyoko ndege ya Assad baada ya kuondoka damascus kuingia homs wakaifuta kwenye satalite ikapotea, taarifa za Assad kuwa yupo hai zimeanza kutolewa na ikulu ya kremlin 😀
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
Wakati katema bungo sponsor wake kalemewa uko gaza na lebanon, mamilioni ya raia wa syria wana maoni tofauti na yako, msilete ushabiki kwenye maisha ya watu
 
Yes am Seriously. Matokeo ya jeshi kupigana na waasi katika hii vita ya siku 11 kumuondoa madarakani madhara yangekua ni makubwa sana. Ni busara imetumika kuachia madaraka bila umwagaji damu.
You are seriously??
 
Syria imekuwa kwenye civil war kwa muda mrefu tu.
 
Si juzi tu hapa Urusi alirusha makombora dhidi ya Waasi na mkashangilia. Tena mkadai Iran katuma wapiganaji na mkadai houthis wapo njiani. Baada ya kipigo mmeanza kutafuta kichochoro Cha kukimbia.
 
Kama ndivyo basi kwakweli amefanya vizuri, binafsi nilikuwa nashangaa jinsi walivyo kuwa wanachukua miji kama mzaha vile!
Ila waaraarabu ni watu wa ajabu sana!
The anti-Assad forces declared him deposed and claimed control over the country’s government.

Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
 
Really, are you serious?

Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?

Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?

Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
 
Yes am Seriously. Matokeo ya jeshi kupigana na waasi katika hii vita ya siku 11 kumuondoa madarakani madhara yangekua ni makubwa sana. Ni busara imetumika kuachia madaraka bila umwagaji damu.

Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
 
Yes am Seriously. Matokeo ya jeshi kupigana na waasi katika hii vita ya siku 11 kumuondoa madarakani madhara yangekua ni makubwa sana. Ni busara imetumika kuachia madaraka bila umwagaji damu.
so kweli ni kwamba waliokuwa wanamsapoti assad walikua hoi nguvu hawana tena huo mziki wasingeuweza
 
Utawala wa Assad Dynasty umefikia mwisho nyingine ni Story tu.
 
Hajaleta upinzani wowote kwa waasi na jeshi alikua nalo kwahiyo namsifia kwa kuchukua uamuzi wa busara kuepusha mapigano na kuwaachia nchi Yao salama . Unaonaje kama angechukua uamuzi wa kupigana ?
Angefanya hivyo tokea 2011.

Kwa nini aling’ang’ania madaraka kwa miaka 13?

Watu wangapi wamekufa toka 2011?
 
Miaka 13 mingi,matukio yaliyotokea yanaweza badili fikra, assad hata pesa ya kuendesha serikali ilikua shida, imagine wanajeshi walikua wakilipwa $20 kwa mwezi
Point yangu ni kwamba Assad kakimbia kwa sababu mambo yamemshinda si kwa sababu katumia busara kuepusha vita ya wenyewe kwa wenyewe kama anavyosema mtia mada.

Angetaka kuepusha vita ya wenyewe kwa wenyewe angekimbia mwaka 2011.
 
hakuna kitu kama hicho jeshinlilimkimbua lote maana hakuwa na fedha za kuwalipa,japo aliwaaga kwa kuwapa fedha kidogo na kuwaambia wasipigane
Sasa kumbe kaishiwa pesa watu wanasema kaiepusha nchi na vita vya wenywee kwa wenyewe kwa busara.
 
Point yangu ni kwamba Assad kakimbia kwa sababu mambo yamemshinda si kwa sababu katumia busara kuepusha vita ya wenyewe kwa wenyewe kama anavyosema mtia mada.

Angetaka kuepusha vita ya wenyewe kwa wenyewe angekimbia mwaka 2011.
Nyote mnaweza kuwa sahihi,lakini 2011 serikali yake ilikua strong financially na bado alikua na matumaini
 
Wakati ulikua Bado.hivi sasa ameona wakati umefika. Nadhani Busara Haina muda maalumu wa kutumika
Unaambiwa Assad kaishiwa hela halafu rafiki zake Warusi, Hizbollah na Wairan wana vita zao wameshindwa kumsaidia.

Sasa mtu kaishiwa hela, marafiki zake wameshindwa kumsaidia, kashindwa vita, unasema katumia busara kukimbia wakati kashindwa vita?
 
Back
Top Bottom