Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina.

Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu ya maji, juzi Bashiru kaibuka. Polepole alitaka kuunguruma mbele ya Amiri Jeshi, anajua kilichompata, ila sisi wanazi wa Samia hatujaridhila hata kwa ubalozi wa Malawi aliopewa. Bado tunaye tu.

Ni mtu mwenye kinyongo sana, na kaonesha ana roho mbaya sana na anamjadili vibaya rais wetu mafichoni, ni juzi tu kajisahau kamjadili hadharani.

Mama SSH, huyu yuko ndani ya fensi, twanga kabisa huyu ili ajue mipaka yake. Hii itapeleka salamu kwa wenzake kwamba hali si hali.

Shusha chini kabisa kwa Katibu tawala wa Wilaya ya Nkasi, na dola imchangamshe kidogo, kasahau alivyokwapua mabilioni wakati Jiwe anafariki kwa kisingizio Cha kumtibu?

Pia huyu ni mwana CUF na kadi hajarudisha.

Bashiru ni moja ya majitu makatili sana, na ana roho mbaya sana, alichukiwa sana enzi akiwa Katibu Mkuu CCM, na hata akiwa mwalimu chuo kikuu, alisifika kwa roho mbaya na kuchukia watoto hasa wa masikini na kuwafelisha masomo yao.
 
Then utaskia watu wanasema kuna uhuru wa kuongea...waseme tu uhuru uliopo ni wa mapambio.
Demokrasia ni pamoja na
1. kukibali kutokubaliana,
2. kukubali kuskia ht yale usiopenda kuyaskia
3. Kushindana kwa hoja
4. Kuheshimu Utu na Heshima ya mtu wakati wa malumbano ya Hoja.
 
Relax mkuu, kwani kuwa CUF ni uhaini?,ametoa maoni yake kama wewe ulivyotoa ya kwako, mjibu kwa hoja sio vitisho, nchi hii SIO ya ccm pekee, amka mkuu kutoka kwenye usingizi wako mnono
Bashiru ni nduli, adui wa Taifa, apigwe nduli Bashiruuu.......apigweeeee!!!
 
mtoto wake wakwanza atakua anahudhunika Sana alishamshauri baba ake aachane na ujinga wa ccm hakusikia
Bashiru ndio mjinga, may be hukumuelewa mtoto wake, Bashiru ni moja ya watu wa hovyo sana aliye engineer utawala katili sana, uliotesa na kuua maelfu ya watu, na wengine kubambikizwa kesi feki kwa maelekezo yake.
 
Madai kwamba Bashiru ni mrundi ni ya kweli? Ndio maana katika hitiba yake alikuwa anahamasisha wananchi waanzishe vita.
 
Taifa la kuhurumiwa sana, tunatengeneza kizazi cha wajinga wasiojua kuhoji ambapo naamini mbele ya safari tutaanza kuulizana tufanye nini ili kuondokana na hali hiyo.

Hatujielewi, tupo kama misukule, ajabu sasa wajinga ndio wanaongoza vikao vya maamuzi hatua gani achukuliwe yule aliyetoa maoni yake, na wapumbavu wanachangia mada kikaoni kwa ku suggest hatua gani anazofaa kuchukuliwa yule "aliyevunja sheria" ya kutoa maoni yake.
 
Bashiru sio mwanasiasa wa kujikomba kama hakina Kafurila wanashinda wanaramba visigino vya Samia ili wakumbukwe kwenye teuzi, Bashiru aliazimwa Udm na serikali,mpaka Sasahivi jina lake linasomeka kama lecture wala hajafukuzwa mlimani ni msomi ambaye hategemei siasa kuendesha family yake.
 
Back
Top Bottom