Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

UBUNGE wake UPEWE WEWE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazo la mpumbavu mbobezi
 


Ni mtu mwenye kinyongo sana, na kaonyesha ana roho mbaya sana na anamjadili vibaya raisi wetu mafichoni, ni juzi tu kajisahau kamjadili hadharani.

Nimecheka kwa sauti.
 
Suala si kumvua madaraka, suala ni je hoja aliyoiongea ina mashiko? UVCCM jifunzeni kujibu hoja kwa hoja, hatujaona hata mmoja kati yenu kajibu hoja za Mh. Bushiru badala yake ni matusi na dhihaka.

Nyie ndiyo CCM ijayo kama mnakuwa na mihemko ya namna hii hiyo CCM yenu mtaifikisha wapi enyi vijana, mnakiua chama chenu.
 
Wewe ndiye mpumbavu "mpumbavu ni yule mtu ambaye hajui kitu lakini anajifanya anajua" Sasa ndio wewe mleta mada ,ivi unadhani huku wote ni wapumbavu kama ulivyo wewe na hao wenzako eeh kwanza picha yako kwenye avatar yako inasadifu yaliyomo kwamba siasa zako ni zawachumia tumbo ,kweli ccm inavijana wa hovyo sana
 
Povu la nini sasa?
Unaongea kama nchi ya baba yako vile!!!
Yani hata mimi nimekudharau.
 
Mbona mnatia AIBU hivii.
Yani yale maneno ya Bashiru yamekitikisa chama kiasi hiki... Chama linachomiliki dola. Mbona mnakuwa wepesi hivyo
 
Unaongea kama nchi ya baba yako vile!!!
 
Jizi kazini
 

Reading between the line kisaikolojia unaonekana wazi wazi unakuwa driven na rabid hatred ya Dk.Bashiru wala si kitu kingine, wa kale walisema kama huna jambo jema la kuzungumza kuhusu binadamu mwenzako ni vema ukakaa kimya au mshauri kwa nia mjema kuliko kumzulia mambo na kusema chochote kicho cross your mind.Ndio maana maelezo yako ukiyachunguza kwa umakini ni totally incoherent - mara Bashiru alikuwa mwanachama wa CUF,mara sijui mwondolee Bashiru wadhifa wa Ubalozi, mara sikui Bashiru kaiba nini huko CCM, mara Bashiru sijui aliwahi kufanya scandal gani hapo Chuo Kikuu.

Yaani comments zako licha ya kuwa too childish, unaonekana vile vile kwaba lengo lako unataka kumwaribia sifa Dk.Bashiru mbele ya Madam President na washauri wake, unajifanya as if SSH hamwelewi kiundani Dk.Bashiru, wakati kila mtu mwenye akili timamu anajuwa kwamba Rais Samia amewahi kufanya kazi na Bashiru Serikalini wanajuana, lakini sisi watu baki tunapania kumchonganisha yeye na Bashiru kwa stori za kutunga tu!! Why don't you keep chuki zako binafsi to yourself au na wewe uliwahi kuwa mnufahika wa uporaji na kujimilikisha mali za CCM sasa Dk.Bashiru alipo wawekea pini mnamuona ni mbaya ndio maana mnabuni mbinu za kumwaribia sifa/kumbomoa kisiasa - but remember SSH is mega smart upstairs hawezi kuwekea maanani siasa zenu za maji taka.
 
Mkuu Shida iko wapi?
Si mlisema wenyewe kila Mtu ana haki ya kutoa Maoni?
Bashiru kasema kidogo sana cha ajabu sukari zimewapanda kwa hali ya juu sana.
Naona Manguli na Ma Giant wa CCM mnatumia nguvu kubwa sana kukosoabkauli za Bashiru. Naomba kufahamu,
1)Zina Ukweli?
2)Zina Mashiko?

Wengi saana wamejitokeza jusikiliza kauli za bashiru baada ya Reactions zenu, na ki ukweli huku kitaa wengi wana msupport.
Ni hayo tu ndugu yangu.
Oooh kabla sijasahau, tukumbuke kuwa jamaa al8shawahi kuwa Katibu Mkuu wa chama chenu, pia aliwahi kuwa katibu mkuu kiingozi.
Sasa mnapomshambulia mtumie akili, asije akawa najua siri kuu, ambapo mkimsukasuka sana, ataitoa na mkahukumiwa na hasira za walimwengu.
 
π‘€π‘‘π‘œπ‘Ž π‘π‘œπ‘ π‘‘ π‘›π‘–π‘›π‘Ž π‘€π‘Žπ‘ π‘–π‘€π‘Žπ‘ π‘– π‘›π‘Ž π‘’π‘π‘œπ‘›π‘”π‘œ π‘€π‘Žπ‘˜π‘œ, π‘’π‘‘π‘Žπ‘˜π‘’π‘Ž π‘’π‘›π‘Ž π‘˜π‘’π‘‘π‘’....

𝑀𝑑𝑒 π‘˜π‘Žπ‘‘π‘œπ‘Ž π‘šπ‘Žπ‘œπ‘›π‘–, π‘›π‘‘π‘œ π‘Žπ‘œπ‘›π‘’π‘˜π‘Žπ‘›π‘’ π‘šβ„Žπ‘Žπ‘–π‘›π‘–? π‘€π‘π‘œπ‘›π‘Ž π‘šπ‘›π‘Žπ‘—π‘–π‘™π‘Žπ‘§π‘–π‘šπ‘–π‘ β„Žπ‘Ž π‘˜π‘’π‘€π‘Ž π‘šπ‘–π‘ π‘’π‘˜π‘’π‘™π‘’??

𝐻𝑖𝑖 π‘›π‘β„Žπ‘– π‘ π‘–π‘œ π‘¦π‘Ž 𝑛𝑧𝑖 π‘€π‘Ž π‘˜π‘–π‘—π‘Žπ‘›π‘– 𝑑𝑒...π‘›π‘Ž 𝑛𝑧𝑖 π‘€π‘Ž π‘˜π‘–π‘—π‘Žπ‘›π‘– π‘€π‘Žπ‘›π‘Ž β„Žπ‘Žπ‘˜π‘– π‘¦π‘Ž π‘˜π‘’π‘Ÿπ‘’π‘˜π‘Ž π‘šπ‘Žπ‘—π‘Žπ‘™π‘Žπ‘™π‘Žπ‘›π‘–
 
Hata Kolimba aliwahi kuwa Katibu Mkuu CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…