Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Zamani tuliita Sukuma Gang, sasa sijui ile block tuipe jina gani.
Kwa ufupi ni kwamba kuna block kwakuwa wamekatiwa mirija yao ya asali au imefungwa vifundo na sasa kupata asali kidogo kidogo kama mgao wa maji ya DAWASCO.
Kuna watu walikuwa wakihitaji pesa tu wanachotewa na kuoelekewa mpaka walipo kwa haraka.
Sasa wanasubiri mshahara na posho tu.
Hawa ndio wanaomsumbua Rais SAMIA.
Sasa hawa hawakupaswa kupewa hata udiwani.
Ni wakuwaweka mbali na siasa.
RAIS SAMIA ukiwachekea au ukiwaogopa na kuwaacha wawe na majukwaa ya kusemea watakupa shida mbele ya safari.
Enzi za Magufuli ukiwa kinyume chake tu hata kwa Siri, ukibainika umekwisha. Sasa huyu Bashiru atakudharau hadharani mpaka lini?
Mfukuze, na umnyang'anye hata vyeti akalime.