Ulikaa siti ya nyuma ya dereva?
 
Alivaa kawaida tu lakini alitoa maelezo yake kwa mkuu wa kituo cha polisi na alionyesha kitambulisho akaruhusiwa
 
Kwa maelezo ya kufeli breki..

Kosa hapo ni la Dereva. Ndio.

Dereva siku zote ni yule wa kujihami na wa kufanya MAAMUZI sahihi ktk wakati sahihi.

Gari ukishaona hii breki hakuna kuna mechanism nyingi mno za kufanya ikumbukwe hilo ni Bus na nafkir ni Manual hiyo gari. Kuna kufanya change down technique kuna kuvuta handbrake ambayo mfumo wake hausiani kbd na brek za kawaida haiwezi hii mifumo miwili yote ikafeli kwa pamoja.

Na gari hizi zina Emergency brake mbili.
Ok tuseme zote zimefeli. Alishindwa nini kutoa tahadhari kwa abiria muda huo akitafuta KICHAKA au Miti midogo Ni heri uuwe wawili au chombo kiumie kuliko watu wote hao.

Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi ndio silaha kubwa sana ya kupunguza makali ya ajali.
 
Mjinga sana yule kolo
 
Braza wewe ni dereva?

Ajali ni kitu cha dakika chache sana kila kitu kinakuwa stori.
 
Hiyo barabara ya kutoka mtama kwenda lindi kuna sehemu inaitwa "kwa mkapa" hapo mahala panaitwa hivyo kwasababu ya watu kufa sana kwa ajali, wameiga ile kauli mbiu ya simba kuwa kwa mkapa hatoki mtu
 

Duu aisee yaani kama muvi vile,Mungu awarehamu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…