zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Idumu MizimuUnenaliza na kushindana kula nyama kazini kula chakula cha 7000 kwa mchana tu na hashibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idumu MizimuUnenaliza na kushindana kula nyama kazini kula chakula cha 7000 kwa mchana tu na hashibi
Idumu MizimuNafikiri kwenye mada haijatajwa kada yoyote ya mtumishi wa umma.
So, usiingize kitu ambacho hakipo.
According to salary slip hapo chini👇huyu, si kada uliyoutaja. hapo.
Mwalimu wa Kemia Shule ya Sekondari SengeremaHuyu bila shaka atakua ni mtendaji wa kijiji/kata mahala fulani
Mimi siyo muabudu mizimuIdumu Mizimu
miaka 20 sasa imepita, kipindi hicho hadi tsh 10 inatumikaHiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
Kazini kwetu asubuhi Kila mfanyakazi anatakiwa anywe chai isiyozidi elfu 5, mchana ale chakula kisichozidi elfu 7. Usiku kila mtu anakula kwake.Unenaliza na kushindana kula nyama kazini kula chakula cha 7000 kwa mchana tu na hashibi
Sawa MwalimuMimi siyo muabudu mizimu
Sawa Mwalimu mwisho wa mwezi unakunja 133,000/-Kazini kwetu asubuhi Kila mfanyakazi anatakiwa anywe chai isiyozidi elfu 5, mchana ale chakula kisichozidi elfu 7. Usiku kila mtu anakula kwake.
Hiyo take home hata ukiizidisha mara 30 Bado haifikii Gross yangu. Endeleeni kupambanaSawa Mwalimu mwisho wa mwezi unakunja 133,000/-
Yaan wewe per diem ni million 800 au sio? Kweli Jf kila mtu Tajiri anamiliki mandinga ya kifahari na mahekaru, kesho unafungua uzi umepigwa na ugumu wa maisha umechanganyikiwa hujui uanzie wapi shauri yakoHiyo take home hata ukiizidisha mara 30 Bado haifikii Gross yangu. Endeleeni kupambana
Umekaa kazini miaka zaidi ya miaka ishirini.Fanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mbuyu ulianza kama mchicha
Kuna watu wanaona ni miujiza kupata hio salary lakini kiuhalisia bado ndogo.Taasisi gani hiyo basic ni 360! Mi basic inakaribia 2.7m na bado nateseka
Unajua kitu kinaitwa inflation?,Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
MwalimuUmekaa kazini miaka zaidi ya miaka ishirini.
Umeshindwa kujua kua duniani kuna "Inflation"?
Nilijua hata una uelewe japo kidogo nimegundua huna.Yaan wewe per diem ni million 800 au sio? Kweli Jf kila mtu Tajiri anamiliki mandinga ya kifahari na mahekaru, kesho unafungua uzi umepigwa na ugumu wa maisha umechanganyikiwa hujui uanzie wapi shauri yako
Mwalimu unatoa darasaUnajua kitu kinaitwa inflation?,
Adjust hio 1850/= ya 2005 update value halisi ya 2025,..........mwaka 1982 shilingi 10,000/=unanunua kiwanja magomeni,kanunue leo mkuu,maana vijana wa 2025 wavivu sana
Taasisi gani hiyo basic ni 360! Mi basic inakaribia 2.7m na bado nateseka
Wewe umeona ukizidisha hio unapata ngapi million 500?Nilijua hata una uelewe japo kidogo nimegundua huna.
Ukichukua hio take home uliyoandika hapo juu ya 133,000 ukazidisha mara 30 unapata million 800?. Ni halali uendelee kulipwa mshahara wa elfu 80 kwa mwezi.