Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
miaka 20 sasa imepita, kipindi hicho hadi tsh 10 inatumika
 
Unenaliza na kushindana kula nyama kazini kula chakula cha 7000 kwa mchana tu na hashibi
Kazini kwetu asubuhi Kila mfanyakazi anatakiwa anywe chai isiyozidi elfu 5, mchana ale chakula kisichozidi elfu 7. Usiku kila mtu anakula kwake.
 
Hiyo take home hata ukiizidisha mara 30 Bado haifikii Gross yangu. Endeleeni kupambana
Yaan wewe per diem ni million 800 au sio? Kweli Jf kila mtu Tajiri anamiliki mandinga ya kifahari na mahekaru, kesho unafungua uzi umepigwa na ugumu wa maisha umechanganyikiwa hujui uanzie wapi shauri yako
 
Fanya kazi acha kulalama,Mimi nimeanza kazi nalipwa 80,000 kama basic na take home 65 ,000,Leo hii basic salary ni 1.8M ,hata Mbuyu ulianza kama mchicha
Umekaa kazini miaka zaidi ya miaka ishirini.
Umeshindwa kujua kua duniani kuna "Inflation"?
 
Hiyo laki na thelathini wengine ndio basis salary
Mwaka 2005 nilikuwa nafanya kazi kiwanda kimoja cha wahindi tulikuwa tunalipwa 1850 per day na tulikuwa tunapiga kazi kama kawaida
Unajua kitu kinaitwa inflation?,
Adjust hio 1850/= ya 2005 update value halisi ya 2025,..........mwaka 1982 shilingi 10,000/=unanunua kiwanja magomeni,kanunue leo mkuu,maana vijana wa 2025 wavivu sana
 
Yaan wewe per diem ni million 800 au sio? Kweli Jf kila mtu Tajiri anamiliki mandinga ya kifahari na mahekaru, kesho unafungua uzi umepigwa na ugumu wa maisha umechanganyikiwa hujui uanzie wapi shauri yako
Nilijua hata una uelewe japo kidogo nimegundua huna.

Ukichukua hio take home uliyoandika hapo juu ya 133,000 ukazidisha mara 30 unapata million 800?. Ni halali uendelee kulipwa mshahara wa elfu 80 kwa mwezi.
 
Unajua kitu kinaitwa inflation?,
Adjust hio 1850/= ya 2005 update value halisi ya 2025,..........mwaka 1982 shilingi 10,000/=unanunua kiwanja magomeni,kanunue leo mkuu,maana vijana wa 2025 wavivu sana
Mwalimu unatoa darasa
 
Nilijua hata una uelewe japo kidogo nimegundua huna.

Ukichukua hio take home uliyoandika hapo juu ya 133,000 ukazidisha mara 30 unapata million 800?. Ni halali uendelee kulipwa mshahara wa elfu 80 kwa mwezi.
Wewe umeona ukizidisha hio unapata ngapi million 500?
 
Nilijua hata una uelewe japo kidogo nimegundua huna.

Ukichukua hio take home uliyoandika hapo juu ya 133,000 ukazidisha mara 30 unapata million 800?. Ni halali uendelee kulipwa mshahara wa elfu 80 kwa mwezi.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom