Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Everything is very clear.
Hakuna mtihani mgumu kama kukaa jukwaa la Simba wakati wewe ni Yanga. Inabidi uwe na mtu wa kukumonitor kila wakati. Hapa Simba walikuwa 3 na Yanga tulikuwa 3.

Kikubwa tulikuwa na special mission ya kupeleka Agenda ya #KatibaMpya kwa Mkapa. Tuliingia kwa Shangwe kama loteeeee. https://t.co/5IMPzjbne0
 
Umefilisika. Na mtu aliyevaa shati yake ya njano alikuwa mwana yanga??

ccm mmebaki kuokota okota vihoja vya kibaguzi kama alivyokuwa jiwe baba yenu
 
Nyie MaUVCCM mkiwa mnavaa yale makanga yenu ya njano huwa mnawatenga mashabiki wa Simba??
 
Aisee nimekushangaa kweli..Mbona maongezi mengine sio serious kihivyo. Unakwama wapi ndugu yangu!!
 
Aisee nimekushangaa kweli..Mbona maongezi mengine sio serious kihivyo. Unakwama wapi ndugu yangu!!

Hakuna usajili wa wanachama wa Yanga na Simba kwa kigezo cha mwenyeji na mgeni Dar es salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…