Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Everything is very clear.
Hakuna mtihani mgumu kama kukaa jukwaa la Simba wakati wewe ni Yanga. Inabidi uwe na mtu wa kukumonitor kila wakati. Hapa Simba walikuwa 3 na Yanga tulikuwa 3.

Kikubwa tulikuwa na special mission ya kupeleka Agenda ya #KatibaMpya kwa Mkapa. Tuliingia kwa Shangwe kama loteeeee. https://t.co/5IMPzjbne0
IMG_20211212_090321.jpg
 
Everything is very clear.
Hakuna mtihani mgumu kama kukaa jukwaa la Simba wakati wewe ni Yanga. Inabidi uwe na mtu wa kukumonitor kila wakati. Hapa Simba walikuwa 3 na Yanga tulikuwa 3. Kikubwa tulikuwa na special mission ya kupeleka Agenda ya #KatibaMpya kwa Mkapa. Tuliingia kwa Shangwe kama loteeeee. https://t.co/5IMPzjbne0View attachment 2041272
Umefilisika. Na mtu aliyevaa shati yake ya njano alikuwa mwana yanga??

ccm mmebaki kuokota okota vihoja vya kibaguzi kama alivyokuwa jiwe baba yenu
 
Nyie MaUVCCM mkiwa mnavaa yale makanga yenu ya njano huwa mnawatenga mashabiki wa Simba??
 
Kama kilichoanza kuumbika ni ardhi, sote tu wageni hapa Tanzania na Dare es salaam. Huu wote unaoonyesha ni ulimbukeni. Watu wote hili eneo ni wahamiaji. Tumepishana muda wa kufika tu. Sijui jeuri unaitoa wapi?

Na cha ajabu, waliochelewa kufika ndo wenye maendeleo zaidi. Wewe endeleza sifa ya kuwahi kufika.

Na hakuna sehemu imeandikwa kuanzia mwaka huu, waliofika Dar es salaam walichagua kushabikia timu hii. Hivyo, ushabiki uko mixed.
Wazo lako pia ni mfilisi.
Aisee nimekushangaa kweli..Mbona maongezi mengine sio serious kihivyo. Unakwama wapi ndugu yangu!!
 
Aisee nimekushangaa kweli..Mbona maongezi mengine sio serious kihivyo. Unakwama wapi ndugu yangu!!

Hakuna usajili wa wanachama wa Yanga na Simba kwa kigezo cha mwenyeji na mgeni Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom