Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popote pale mnapovaa hayo maguo yenu ya kijani huwa mnawatenga mashabiki wa simba??Ulishaona wanaCcm wanavaa kijani na njano siku ya kariakoo derby? Tumia akili we pimbi
Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.View attachment 2041065
Post zote mbili ni za mtu mmoja! JF imetoka kwenye GT's na kuwa ya vibaka.Hakuna mtihani mgumu kama kukaa jukwaa la Simba wakati wewe ni Yanga. Inabidi uwe na mtu wa kukumonitor kila wakati. Hapa Simba walikuwa 3 na Yanga tulikuwa 3. Kikubwa tulikuwa na special mission ya kupeleka Agenda ya #KatibaMpya kwa Mkapa. Tuliingia kwa Shangwe kama loteeeee. https://t.co/5IMPzjbne0View attachment 2041136
Ulishaona wanaCcm wanavaa kijani na njano siku ya kariakoo derby? Tumia akili we pimbi
MODS UKURASA HUU NI WA MICHEZO POST HII INAFANYA NINI HUKU? AU NI UPENDELEO MAALUM.Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
View attachment 2041065
Popote unapokua umejifunga zile kanga zako za manjano.Wapi huko?
Punguza jazbaHuna akili