Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

Naomba walau kilo ya unga ifike hata elfu 5000 , na sisi wakulima tunasema asante sana kwa bei za vyakula kuwa juu ili tufaidike pia. Wafanyakazi na watu wa mijini mmekuwa mkijiona nyie mabwanyenye, sisi washika jembe mnatuona choka mbaya sasa heshima lazima iwepo
 
"WAKULIMA WANAFAIDIKA KWELI KWA WAKATI HUU KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE ULE, TWENDENI TUKALIME ILI TUFAIDIKE SOTE.
 

Attachments

  • IMG-20230108-WA0003.jpg
    134.3 KB · Views: 4
Acha upumbavu, sisitiza serikali yako ifanye wepesi kwenye pembejeo kama ndio kisababishi cha upandaji wa gharama za mazao na nafaka,.usitumie matako kwenye kichwa chako.
Nenda ukalime, period. Mumekaa mnanyonya wakulima kila mwaka. Ruzuku za pembejeo hazina effectiveness. Huko Songwe wafanyabiashara wananunua mbolea ya ruzuku wanakwenda kuuza Malawi na Zambia.

Nenda ukalime tu
 
Sikiliza taahira!

Wanaohangaika na hizo bei za juu za bidhaa ni hao wakulima wenyewe!

Hakuna mkulima anafaidika na hizi bei sasa hivi!

Hivyo vichwa mjaze ubongo siyo mavi
Wakulima gani wanataabika? Sema wananchi wanaotoka mikoa ya wavivu kama Tanga na Mtwara ambako vijana wamekimbilia mijini kufanya UMACHINGA!

Sisi wa nyanda za juu tuko fit, tunauza Zambia kwa kwenda mbele.
 
Khaaaaah khaaa khaaaa ww unahitaji maombi ww si bure.
Nendeni mkalime mvua zinanyesha!! Tanzania ardhi yenye rutuba ni kubwa ila inayolimwa ni chini ya 15%.

Vijana wa Kitanzania hawapendi kulima, wanapenda kazi za kuosha wadada kucha, kupaka rangi nywele na biashara ya umachinga.

Huu ni muda sasa wakatambua kuwa kilimo ni biashara
 
Wewe ndiye Pimbi mwenye akili za kuvukia barabara tu. Tanzania tulifanya liberalization ya economy kwenye 1980s. Soko au nguvu ya supply and demand ndiyo lita determine bei ya bidhaa.

Kufunga mipaka tusiuze mahindi nje ya nchi kulikofanywa na Kichaa Magufuli ilikuwa ni dhuluma kwa wakulima wa Nyanda za Juu Kusini ambao kilimo ndiyo njia yao kuu ya uchumi. UJINGA huo hauna nafasi tena.

Kupanda kwa Bei iwe ni incentive kwa watu wengi wajihusishe na kilimo.
 
Wala hakuna mkulima mwenye kuweza kusafirisha chakula shida ya Biashara ya chakula imeingiliwa na walanguzi ndio wanao miliki soko na sio mkulima.
Wananunua mali ikiwa shambani haswa mchele
Kama wewe ni mkulima wa ukweli na siku zote ulikuwa unapeleka mazao mwenyewe sokoni, na mwaka huu unaona watu wanafuata shambani kwako. Utakuwa ni KICHAA kuwauzia kwa bei ya mwaka jana.

Wakulima siyo wapumbavu kihivyo!! Wanayo taarifa ya kutosha kuhusu soko la ushindani. Information is asymmetrical in a competitive market.
 
Nenda kalime. Mvua zimeanza. Kilimo kitakuwa kwa namna hiyo, umasikini vijijini utaondoka kwa namna hiyo
 
Wanaofaidika ni walanguzi (middle men) na sio mkulima asee
 
Wala hakuna mkulima mwenye kuweza kusafirisha chakula shida ya Biashara ya chakula imeingiliwa na walanguzi ndio wanao miliki soko na sio mkulima.
Wananunua mali ikiwa shambani haswa mchele
Soko huria na wakulima wamekubali. Hiyo habari ya ulanguzi iliundwa na wakina Nyerere enzi za ujamaa kuficha incompetence yao. Acha kuisema kama kasuku.
 

Kwa akili yako mkuu unajua mkulima ananufaika na lolote kaka mkulima atabak kua grade ya Mwisho kimaisha apa Tanzania
 
Tunaotokea jamii ya wafugaji tunatamani nyama ifike hata 15,000 Kwa kilo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mataifa jirani yanakusanya kila kitu yanapeleka kwao sisi tunasema
Kuna sehemu nimeuliza swali linalofanana na maelezo yako nikajibiwa kuwa tuache wakulima wafaidi bei za mazao Yao walipunjwa sana. Nikajiuliza kimoyomoyo, wanafaidi kweli bei hizi, maana sina hakika kama bei za pembejeo kama zimeshuka kuliko siku za nyuma Hata baada ya ruzuku kwamba Sasa faida inayopatikana kwa kuuza mazao imetanuka sana.

Hili swali la kimoyo moyo mliache hivyo hivyo msinijibu.
 
Kinachokusumbua ni chuki pamoja na usukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…