Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

Watu waliojawa na upumbavu wanalalamika sasa hivi, bei ya chakula kupanda.

Lakini wakati bei ya mbolea na pembejeo za kilimo zikipanda, walikuwa kimyaaa.

Sasa hivi wanataka kuleta welevu.
 
Mikono Yako ni LAINI ndugu Lucas.

Hayupo MKULIMA mwenye stock ya mazao ya mwaka Jana...
Hivi wewe jamaa unatuchukuliaje hasa wakulima? Kwamba hatuna hata akili ya kutunza mbegu? Magodauni ya mashine yanayotunzia wakulima mpunga bure Kwa shariti la kukobolea hapo hata baada ya miaka 2 hatuyajui eeh?

Wakulima wenye akili mbovu unayoisema hapa katika Mia unaweza kuwapata wawili tu. So Kwa Vile unatuhurumia Sana watz tunaomba wewe uwe dalali uwe unafata mazao huko unakuja kutuuzia elfmoja moja.
 
Jinga sana wewe , hivi kwa akili zako hizo unafikiri wanaouza hayo mahindi kwa bei ya juu ni wakulima?
Ni wafanyabiashara wakubwa na wa kati ndo wanaouza hayo mahindi na mchele kwa bei ya juu...
So kipindi wafanyabiashara wanakusanya mazao Kwa wakulima Kwa bei ya chini je serikali ilikuwa inazuia mtu mmoja mmoja kujikusanyia mazao? Au hao wakulima walipigwa stop na serikali kuweka stock?
 
Kuna kada wa ccm HUKO Kilimanjaro!kama sikosei Lubinga analalamikia Tozo zinaleta uadui Kati ya WANANCHI na Serikali!!

Nadhani hii ndio demokrasia NDANI ya CHAMA chetu ccm!

Tuendelee kukosoa pale penye kasoro!Ili chama na serikali viwatumikie WANANCHI!
 
Aisee hii ndiyo Tanzania ya wajinga
 
Unazungumzia bei ya unga, mbona huongelei bei ya diesel na petrol? Mbona huongelei bei ya mbolea au mbegu ? Yenyewe imeshuka? Tusiishi kwa kukaririr, tuishi kwa kufuata uhalisia.

Serikali ihakikishe haizuii mauzo ya mazao nje ya nchi. Wakulima wawe huru kuuza popote. Faida katika sekta ya kilimo itachochea uzalishaji zaidi na maendeleo zaidi.

Wakati wa Mwalimu, baada ya Azimio la Iringa la siasa ni kilimo, kila mfanyakazi alitakiwa kuwa na angalao ekari ya shamba. Wafanyakazi wa sasa, baadhi wamekifanya kilimo kama kazi ya laana. Mnaokifanya kilimo kazi ya laana tulieni, mwisho wa mwaka bei kwa kilo 1 itakuwa sh 6,000 tu. Wewe ukiona bei ni kubwa unaacha, watanunua Wakenya au Wacomoro. Nunua michembe, siyo lazima ule wali.
 
Shuleni mnaendaga kusome upumbavu nimeamini
 
Hizo bei hazisaidii mkulima maana akishauza nakutoa ghalama za uzalishaji mpaka nauli ya kufika sokoni anarudi bilabila.
Kusanya taarifa zako vizuri, tokea nmeanza kulima sijawah kukanyaga sokoni, bidhaa inafuatwa shamban mzee
 
Huku kwetu IGUNDAKAMANI debe la mahindi ni alf62namia7stini.

Sjui tunaelekea wap,
 
Wacha ngonjera enda ukalime, mvua zinanyesha sasa
 
Kwani unatumia chakula gani mkuu?Twende polepole ili upate nasaha.
 
Kila shetani na mbuyu wake acheni washangilie akitoka najua watakosoa na kumpamba ajae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…