Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kwamba hata hizo Dola efu mbili tano ni lazima upate Serikalini of which sasa imeadimika. Kwa hiyo hata Toyo moja huwezi kuita kutoka China. Tumebanwa hadi basiNo, nazungumzia purchases za serikali ...
Hizi scraper za dola elf mbili mbili tuendelee nazo tu mkuu😂
Usiturudishe kwenye ule UHAYAWANI waHivi watu wa kitengo hawawezi kutoa taarifa nyeti kuhusu wahusika wakuu wenye kuhusika kuficha fedha za kigeni hasa dola za Kimarekani?
Yaani kweli BoT imefikia hatua ya kuishia kulalamika kuhusu upungufu uliopo katika mzunguko wa fedha za kigeni hapa nchini na kisha kuwapigia magoti wahujumu uchumi?
Taassi nyeti zinapaswa kuwachukulia hatua wahusika kwa kuwa wanafahamika, kama vile ambavyo alithubutu JPM kufanya. Ukiona serikali imeuchuna, huku taasisi yake nyeti ya fedha, BOT inalalamika, basi tambua inawagwaya wafanyabiashara na matajiri wakubwa, na hata inashindwa kuwachukulia hatua ijapokuwa inawatambua.
"Toothless bulldog"
Dola hamna wasitudanganye.
NMB kwasasa wanauza dollar 100 kwa kila mtu hutakiwi kuzidisha
[emoji23]Si tulidokezewa kuwa yule mwenye tai ya bendera ya taifa ana mzigo kauweka ili autumie 2030
TunasubiliiNdio maana jwtz ilitangaza kuanzisha operation yao ya kusachi nguo zao za jeshi nyumba kwa nyumba!!
Ngoja tuone kama na hili wataingia kitaa ku search dollar zilizofichwa!!
Wafanye nini na dollar hakunaSasa mia inasaidia nini si waache tu kuuza
Ubaya ni kwamba Dola ikipanda Tsh inashuka thamani pia. Hivyo ukienda Kenya pesa ya iko juu na hata dola tegamea itakua juu vilevile.Hivi, kwa hii hali ilivyo sasa, mtu anaweza kwenda kununua dola nchi jirani let's say Kenya na kuja nazo TZ na akapata faida inayoridhisha...?
ununue dhahabu wakati iko ardhini kwako?Dhahabu sawa. Jee dhahabu si zinanunuliwa Kwa fedha? Jee hizo fedha za kununulia dhahabu za kuhifadhi tunazo??
Ewe mwafrika ukumbuke una marejesho ya dola sababu ya mikopo ya riba na isiyo na riba uliyokopeshwa kwa dola, unaihitaji sana dola usijisahaulishe.Ni muda Afrika kuwa na currency yake ili tuepukane na Dola domination.
Anazungumza akiwa kwenye V8, full AC, dereva na uhakika wa posho kila kikao/safari. Watoto wanasoma AustraliaView attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Zakuambiwa mix na zako mkuuSi tulidokezewa kuwa yule mwenye tai ya bendera ya taifa ana mzigo kauweka ili autumie 2030
... zalisheni na uzeni kuliko mnavyonunua kama dola hazijaja zenyewe kununua products! Kama hata shopping mnaenda Dubai hizo dola zitapatikanaje.Ni muda Afrika kuwa na currency yake ili tuepukane na Dola domination.
Ona huyu, anaambiwa dola yeye anasema kadi za ccm,Watu waluoko ccm ni mzigo wa misumari na haubebeki
uongozi wa awamu hii umefeli kuliko awamu zote
Sijawahi kushuhudia cadi za ccm zikirudishwa kwa wingi na kila sehemu tena mbele ya ma DC
Hii sasa tunaacha kufikiri kisomi, ina maana kenya nao wameficha dollar ?View attachment 2761849
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini.
Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi Utafiti na Sera wa Benki hiyo, Suleiman Misango, aseme upungufu uliopo sasa wa Fedha za kigeni ni himilivu kwakuwa akiba ipo ya kutosha.
Hii kauli hii ya Benki Kuu inakupa tafsiri gani?
Africa mashariki yenyewe tumeshindwa kuwa na sarafu ya pamoja, ndio itakuwa Africa? Huku afrika viongozi wanawaza wizi wa kura tu.Ni muda Afrika kuwa na currency yake ili tuepukane na Dola domination.