Uliwaaminisha members kwamba datas zilikuwa za miaka 5 ya JPM wakati huo ulikuwa ni uongo. Pia ukakiri kwamba ulikuwa unaangalia miaka mitano mitano wakati data za miaka 2 ya JPM bado hazijaingia. Sasa unaweza kukiri kwamba ulikuwa unapotosha?Na hiyo link uliyoweka baadae ina tofauti gani na link ambayo mimi nimeiweka mwanzoni tu mwa mjadala huu?!
Kweli kabisa kwenye ukweli tunaeleza ukweli na kwenye uongo tunakemea pia bila shaka humu ndani tupo wachache sana.Tatizo wewe hujanifahamu. Mimi huwa ni mkweli na sipo chama chochote cha siasa. Nasimamia ukweli tu.
Sasa n watanzania au bank ya dunia....[emoji2][emoji2]umakini ulipata % ngapNa tukifika huko mtalinganisha G20 ndivyo mtakavyosema,! Watanzania bhana!!!
Wachache sana tena sana.Kweli kabisa kwenye ukweli tunaeleza ukweli na kwenye uongo tunakemea pia bila shaka humu ndani tupo wachache sana.
Hii mijamaa imeshatufanya sisi wapumbavu, kesho wakiamka watatuambia tz ni moja ya nchi zilizoendelea kwa viwanda duniani.Mheshimiwa Rais na wataalamu wengine wa masuala ya uchumi, kwa niaba ya Watanzania wote tusio elewa nini maana ya nchi kuwa katika UCHUMI WA KATI tunaomba mtufafanulie ili wote twende sawa.
Leo tumeona mheshimiwa akipongeza kuhusu nchi yetu kuingia kwenye UCHUMI WA KATI ila kwa bahati mbaya watanzania tulio wengi hatujui hili linamaana gani.
Hivyo tunaomba ufafanuzi kidogo wa hicho kinacho itwa uchumi wa kati ndio nini na kinafanya nchi yetu kulingana na nchi zipi za mabeberu kiuchumi?
Ni ngumu kumwambia tu mwanachi wa kawaida huko chini kuwa nchi yetu ipo katika UCHUMI WA KATI wakati huo kila kukicha anaona bora ya jana. Pesa mtaani hakuna, maisha magumu, ajira kwa vijana hakuna hata za huko serikalini hazitoki na mambo mengine kama hayo.
Tunaomba ufafanuzi kidogo ili na sisi tuweze kuwaeleza wananchi kuhusu hilo pindi wanapo tuuliza huku mtaani.
Yote kwa yote hongera Tanzania kwa kufikia UCHUMI WA KATI. View attachment 1494732
Mods msiunganishe huu uzi
Datas.... Hiiiiiii haya bwana!Uliwaaminisha members kwamba datas zilikuwa za miaka 5 ya JPM wakati huo ulikuwa ni uongo. Pia ukakiri kwamba ulikuwa unaangalia miaka mitano mitano wakati data za miaka 2 ya JPM bado hazijaingia. Sasa unaweza kukiri kwamba ulikuwa unapotosha?
Na hapo Kama tukibaki na huyu yesu wa burigi mchapa kazi kwa miaka 150 otherwise utajiri hatutakufa tumeuona kabisa Kama taifaELEWENI 2014, GDP per capita ya #Tanzania ilikuwa $ 1,030 IKASHUKA ikawa $947 2015. Leo tunambiwa tuko $1,090. Tumepanda kwa $40 Kwenye miaka 6. Tunashukuru sana Mh. Rais. Tukiendelea hivi 2025 GDP per capita itafika $1,130. Kwa mwendo HUU tutakuwa tajiri baada ya miaka 150.🙏🏾
choo cha walimu huko MasasiTangu mwaka 2015 adui wa Tanzania ni
1.Chadema
2.Ujinga
3.Maradhi
4.Umasikini
Kikwete ni ccm kama Magufuli na USD80 za Magufuli zimetosha kuwafanya mabeberu waunge mkono juhudi na kuitangaza Tanzania kuwa sasa ina uchumi wa kati.
Wanga hawakosekani[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio isha timia tayari mkuu, hapa nasubiri kwa hamu sana Zitto atakuja kuongea nini sijui.
Walipo niacha hoi ni pale walipo sema serikali ya awamu hii ya tano tangu iingie madarakani imezalisha ajira zaidi ya milioni sita.Hii mijamaa imeshatufanya sisi wapumbavu, kesho wakiamka watatuambia tz ni moja ya nchi zilizoendelea kwa viwanda duniani.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Datas hicho ni kiswa-english. Nimemfukuza mpotoshaji amekwenda kuchimba dawa. Amekalia upotoshaji na uzandiki tu.Datas.... Hiiiiiii haya bwana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni kwamba umesahau kuweka "wa" badala ya "ba"... Umenifurahisha sana mkuuTanzania ya Vibanda
Wanasema za kuambiwa..!!
Mim pia nilikuwa nataka niulize hili swali ili nieleweshwe vizuriHivi Lower middle income ndo uchumi wa kati?
Hongera Sana Kwa Watanzania Wote
Pongezi kwa uongozi uliopo madarakani...
Baada ya miaka minne ijayo tutafikia uchumi wa upper middle economies.