Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Na hiyo link uliyoweka baadae ina tofauti gani na link ambayo mimi nimeiweka mwanzoni tu mwa mjadala huu?!
Uliwaaminisha members kwamba datas zilikuwa za miaka 5 ya JPM wakati huo ulikuwa ni uongo. Pia ukakiri kwamba ulikuwa unaangalia miaka mitano mitano wakati data za miaka 2 ya JPM bado hazijaingia. Sasa unaweza kukiri kwamba ulikuwa unapotosha?
 
Tatizo wewe hujanifahamu. Mimi huwa ni mkweli na sipo chama chochote cha siasa. Nasimamia ukweli tu.
Kweli kabisa kwenye ukweli tunaeleza ukweli na kwenye uongo tunakemea pia bila shaka humu ndani tupo wachache sana.
 
Mheshimiwa Rais na wataalamu wengine wa masuala ya uchumi, kwa niaba ya Watanzania wote tusio elewa nini maana ya nchi kuwa katika UCHUMI WA KATI tunaomba mtufafanulie ili wote twende sawa.

Leo tumeona mheshimiwa akipongeza kuhusu nchi yetu kuingia kwenye UCHUMI WA KATI ila kwa bahati mbaya watanzania tulio wengi hatujui hili linamaana gani.

Hivyo tunaomba ufafanuzi kidogo wa hicho kinacho itwa uchumi wa kati ndio nini na kinafanya nchi yetu kulingana na nchi zipi za mabeberu kiuchumi?

Ni ngumu kumwambia tu mwanachi wa kawaida huko chini kuwa nchi yetu ipo katika UCHUMI WA KATI wakati huo kila kukicha anaona bora ya jana. Pesa mtaani hakuna, maisha magumu, ajira kwa vijana hakuna hata za huko serikalini hazitoki na mambo mengine kama hayo.

Tunaomba ufafanuzi kidogo ili na sisi tuweze kuwaeleza wananchi kuhusu hilo pindi wanapo tuuliza huku mtaani.

Yote kwa yote hongera Tanzania kwa kufikia UCHUMI WA KATI. View attachment 1494732
Mods msiunganishe huu uzi
Hii mijamaa imeshatufanya sisi wapumbavu, kesho wakiamka watatuambia tz ni moja ya nchi zilizoendelea kwa viwanda duniani.
 
Uliwaaminisha members kwamba datas zilikuwa za miaka 5 ya JPM wakati huo ulikuwa ni uongo. Pia ukakiri kwamba ulikuwa unaangalia miaka mitano mitano wakati data za miaka 2 ya JPM bado hazijaingia. Sasa unaweza kukiri kwamba ulikuwa unapotosha?
Datas.... Hiiiiiii haya bwana!
 
ELEWENI 2014, GDP per capita ya #Tanzania ilikuwa $ 1,030 IKASHUKA ikawa $947 2015. Leo tunambiwa tuko $1,090. Tumepanda kwa $40 Kwenye miaka 6. Tunashukuru sana Mh. Rais. Tukiendelea hivi 2025 GDP per capita itafika $1,130. Kwa mwendo HUU tutakuwa tajiri baada ya miaka 150.🙏🏾
Na hapo Kama tukibaki na huyu yesu wa burigi mchapa kazi kwa miaka 150 otherwise utajiri hatutakufa tumeuona kabisa Kama taifa
 
Tangu mwaka 2015 adui wa Tanzania ni

1.Chadema
2.Ujinga
3.Maradhi
4.Umasikini

Kikwete ni ccm kama Magufuli na USD80 za Magufuli zimetosha kuwafanya mabeberu waunge mkono juhudi na kuitangaza Tanzania kuwa sasa ina uchumi wa kati.
choo cha walimu huko Masasi
2444028_IMG_20200630_091115.jpeg
 
Na tumefanikiwa kuipa italia msaada wa dola billion 770, na pia tunaikopesha ujerumani euro million 450, hivyo sisi ni dona kantry!
 
Hii mijamaa imeshatufanya sisi wapumbavu, kesho wakiamka watatuambia tz ni moja ya nchi zilizoendelea kwa viwanda duniani.
Walipo niacha hoi ni pale walipo sema serikali ya awamu hii ya tano tangu iingie madarakani imezalisha ajira zaidi ya milioni sita.
 
Datas.... Hiiiiiii haya bwana!
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Datas hicho ni kiswa-english. Nimemfukuza mpotoshaji amekwenda kuchimba dawa. Amekalia upotoshaji na uzandiki tu.
 
Back
Top Bottom