secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Kisela kuna big boys ie UK USA Germany and the like, middle income earners ie Eastern Europe,Mexico na baadhi ya nchi za asia ....na lesser.men kama nchi nyingi za Afrika na Latino America.Uchumi wa kati ndoo nn
Hivi inakuwaje kuwaje
Nchi
Ova
Mkuu ungesema neno hapo, wengine huku mitaani tunaona maruweruwe tu. Hata huo uchumi mdogo wa kati hatujui wala hatuelewi una maana gani kwenye maisha yetu ya kila siku ya kubangaiza.
Ni mtanzania gani unayemzungumzia? Umesikia mtu kafa na njaa huko?Faida ya huo uchumi ni ipi kwa mtanzania wa kawaida?
Akiwa na 10k hata hali chakula cha siku ashibe linchi gani hilo.
Kama wewe unajiita great thinker na unategemea serikali ikuajiri pole sana, serikali inaboresha mazingira, wewe unayatumia kuchapa kazi unapiga pesa. OverWewe sio mzima.
nieleze faida ya huo uchumi ambao Tanzania imeingia hii 2020.
.
wakati watu mtaani hawana ajira toka 2015, watu wanafanya tough works wanaambulia 20k ambayo hanunui chochote zaidi ya kula.
hivi wewe mzima kweli?
Kwani nyumbu wamekubali tuwe katika level hiyo ?
Bado uchumi wa kati kamili. Bado sana.Mambo yameitika hata kabla 2025!!?
Mungu Ibariki Tanzania
Isome tena post, nimei-update kwa takwimu!Mkuu ungesema neno hapo, wengine huku mitaani tunaona maruweruwe tu. Hata huo uchumi mdogo wa kati hatujui wala hatuelewi una maana gani kwenye maisha yetu ya kila siku ya kubangaiza.
Ni sawa second class lakini lower.Bado uchumi wa kati kamili. Bado sana.
Wanataka kutoka? Watoke kwenda wapi?Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amepongeza Watanzania wote!
Sijui wapinzani watatokea wapi safari hiiView attachment 1494549
Unaona lami madaraja maajabuLeo tumewashika pabayaaaaa. CCM HOYEEEEEEE
Akikujibu ni tagFaida ya huo uchumi ni ipi kwa mtanzania wa kawaida?
Akiwa na 10k hata hali chakula cha siku ashibe linchi gani hilo.
Nimetazama kwenye wavuti wa WB sijaona kitu kama hiki
Ungekuwa unajua unachoongea basi ungeyakubali maelezo ya akina Zitto! Sasa ikiwa 2015 GNI per capita ilikuwa $980; lakini kwa miaka 5 bado alikuwa anahangaika kuivusha from $980 to somewhehre around $1036 !Zitto DJ Mbowe na genge lake walikuwa wanasema uchumi umezikwa WB wanasema umepaa mpaka tumefikia uchumi wa kati kudadadeki, hii ni furaha kwa CCM ni msiba mzito kwa wapinzani maana October hii hapa.