Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Hujarudi tu darasani?
 
Hata CORONA mlisema imeua maelfu ya watu, chaajabu mitaani hatukuona misiba, leo WB wamewapapasa wapinzani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani umenichekesha sana, ajira zisumbue Ulaya nahapa ulalamikie ajira? Amka fursa Tanzania ni nyingi ukiendelea kusubiri mwanaume fulani akuajiri utakufa maskini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Faida ya huo uchumi ni ipi kwa mtanzania wa kawaida?
Akiwa na 10k hata hali chakula cha siku ashibe linchi gani hilo.
Wewe ndiye lofa alfu 10000 sasa hivi unaenda sokoni unanua mchele kilo 5, maharage kilo 2 na chenchi ya kununulia mafuta inabaki, sasa hivi sisi huku uswahilini maisha raha. Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki Rais Magufuli.
 
Aiseee
 
Acha kuhamisha magoli, roho mbaya inakusumbua, mchawi mpe sifa zake,

Viva JPM, na hii ni taarifa mbaya sana kwa kamati ya roho mbaya toka chadema.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…