Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

Kibano KIMEANZA

Dunia KIJIJI.....Tanga wameamka usingizini Chadema Mungu anawaona
 
Hii kufukuzwa nahisi ni Ile ya Zanzibar, wale wa Israel walio lalamikia gari lenye bango la free Palestine.

Walivyo lalamika Waka fukuzwa hotelini hapo kwa lazima.
Hivyo hatu jui nao walikuwa na influence gani?!
 
Safii...
Wamasai Warejeshwe kwao. Over!
 
Kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…