Huwezi juwa labda Jamaa alisha wapima Watoto DNA kimyakimya na majibu yake anayo mwenyewe! Kuna Watu ni Majasusi wa hatari sana!!Kacheza mchezo kwa aliyekuwa mama watotot wake
Huyu mwanamke aliolewa na taahira jamaa anawatesa watoto wake akijua anamtesa mwanamke[emoji38][emoji38]
Hyo haipo kwenye mikopo ya kibiashara..otherwise uingie wewe huo mkatabaKisheria bank haiwezi kuuza collateral ya marehemu kuna insurance ambayo huwa inafanya kazi pale mkopaji anapofariki au kupata ulemavu au magonjwa ya kudumu labda km alikopa kwenye micro credit
Aaah wapi, nyumba zinauzwa sana tuKisheria bank haiwezi kuuza collateral ya marehemu kuna insurance ambayo huwa inafanya kazi pale mkopaji anapofariki au kupata ulemavu au magonjwa ya kudumu labda km alikopa kwenye micro credit
Wewe mwenyewe umekimbilia humu kuomba Msaada!Mizizi ya Sukumagang bado inachipuka. Mwandishi wa habari wa Raia Mwema wamemkalia kooni kisa hapendi vitisho.
Yeye anafanya kazi zake kwa weledi bila woga. Mfumo unataka kumtoa roho. Wakati anakesi ya mahakamani ya 2020 aloandika kuhusu Tanzania kuwa na awagonjwa wa Corona, leo nyumba yake inataka kuuzwa na mahakama kufidia deni la mumewe alofariki.
Uhuru wa vyombo vya habri upo wapi?
Awali alikamatwa Mei 2020 na kukaa mahabusu ya polisi Central kwa siku 14 kwa amri ya utawala wa awamu ya tano kwa tuhuma za kuposti taarifa za wagonjwa wa Covid19 kukimbia Amana Hospital. Akapekuliwa nyumbani kwake kana kwamba ndo mwenye kutunza corona.
Hadi sasa simu za Maria Victor, bado ipo polisi kwa miaka miwili sasani.
Pia soma;
Dar: Kundi la WhatsAppp lamfikisha Mwanahabari Maria Victor Mahundi mahakamani
Alikamatwa Mei 2020 na kukaa mahabusu ya polisi Central kwa siku 14 kwa amri ya utawala wa awamu ya tano kwa tuhuma za kuposti taarifa za wagonjwa wa Covid19 kukimbia Amana Hospital. Pamoja naye Mhariri na Mkurugenzi wa Raia Mwema Mbaraka Islam naye alikamatwa na wote walipekuliwa nyumbani...www.jamiiforums.com
Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2
Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo. Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya...www.jamiiforums.com
Swala sio kesi mkuu,Inaonekana kuna issues kati yake na mumewe, na kulikuwa na ujanja ujanja kwenye huo mnada, kwa ufupi sheria hazikufuatwa, kwa Judge mzuri anayefuata sheria ata reverse kila kitu hapo na mnada kuwa batili, mama una kesi tafuta lawyer mzuri, hii kesi sio ngumu
si kwa ubaya au dhamira hasi ikitokea umeiaga dunia itakuwaje baba j?Hiki alichofanya mume wa huyu mwandishi sio kigeni Sana hapa mjini.
Hii huwa inatumika Sana kumnyoosha mwanamke mwenye tamaa ya Mali akijua atapata mgao wa 50/50 kwenye talaka.
Mi mwnyw Mali zangu 75% ziko kwnyw mikopo sehemu mbali mbali. Hata hati ambazo haziko kwny mikopo nmezifica kwny safe box yangu huko huko benki.
Siku wife akijichetua TU
Anataa tigawane Basi ajipange kugawana na madeni. Atakachopata Ni kidg mno maana hati zote wanazo wadai wangu.
Imeandikwa,
WANAUME TUISHI NAO KWA AKILI
Balaaaa......hapa ni kumjwahi mwenzio tuuWanaume wanaume
Una point lakini swala la mme kutokulipa au Bank kutomshirikisha mke katika process nzima ya huo mnada ndio ujanja ujanja ninaongelea ambao mbele ya sheria hauwezi kusimama, kama mke alipata barua ya mahakama na Bank na hakuchukua hatua yeyote atashindwa, kama hakupata au mme alizificha ana chance nzuri ya kushindaSwala sio kesi mkuu,
Hapo ukisoma between lines Kuna kukomoana Kati ya MKE na mume.
Probably
Hapo wanandoa hao walikua ktk divorce process, Sasa yanini nilipe den wkt tutagawana 50/50 baada ya talaka.
Na baada ya talaka probably MKE lazima ataendelea kuish humo kwa ajili ya wototo.
HATA NINGEKUA MIMI SILIPI, afu tutajua mbele.
Trust me
Hakuna mwanaume mpumbavu eti ashindwe kukomboa hiyo nyumba kwa Deni la milion 5 TU.
Nadhani hujawajua vizuri hawa viumbe, hao watoto wanaweza kuwa sio wa jamaa na jamaa akaamua kuanza maisha mapya baada ya kunusurika kifo. Apambane na hali yake.Mikono mikopo mikopo...inaumiza Sana..hata hivyo huyo mume hakufanya vizuri kutomshirikisha aliyekua mke wake..sasa wanapenda kuteseka ni watoto.
MlaaniweBalaaaa......hapa ni kumjwahi mwenzio tuu
🤣🤣🤣🤣 Ata nyie mlaaniwe kwa kutunyima paradiso kwa tamaa zenu za tundaMlaaniwe
Boss hata kwa laki moja wanapiga tuu hizo bank zina operate kama robots, visasi na kukomoana vipo lakini mahakama itaangalia kama utaratibu kisheria ulifuatwa, nafikiri ulishaona kesi nzima ikitupiliwa mbali kwa sababu tuu signature hazikufananahapo kuna tatizo kubwa, huwezi piga mnada nyumba yenye thamani kubwa kwa deni la 5.2m, aidha kuna visasi au kukomoana kati ya mume na mke wake.
Mkuu,Una point lakini swala la mme kutokulipa au Bank kutomshirikisha mke katika process nzima ya huo mnada ndio ujanja ujanja ninaongelea ambao mbele ya sheria hauwezi kusimama, kama mke alipata barua ya mahakama na Bank na hakuchukua hatua yeyote atashindwa, kama hakupata au mme alizificha ana chance nzuri ya kushinda