Kacheza mchezo kwa aliyekuwa mama watotot wake
Huyu mwanamke aliolewa na taahira jamaa anawatesa watoto wake akijua anamtesa mwanamke[emoji38][emoji38]
Kisheria bank haiwezi kuuza collateral ya marehemu kuna insurance ambayo huwa inafanya kazi pale mkopaji anapofariki au kupata ulemavu au magonjwa ya kudumu labda km alikopa kwenye micro credit
Kisheria bank haiwezi kuuza collateral ya marehemu kuna insurance ambayo huwa inafanya kazi pale mkopaji anapofariki au kupata ulemavu au magonjwa ya kudumu labda km alikopa kwenye micro credit
Mizizi ya Sukumagang bado inachipuka. Mwandishi wa habari wa Raia Mwema wamemkalia kooni kisa hapendi vitisho.
Yeye anafanya kazi zake kwa weledi bila woga. Mfumo unataka kumtoa roho. Wakati anakesi ya mahakamani ya 2020 aloandika kuhusu Tanzania kuwa na awagonjwa wa Corona, leo nyumba yake inataka kuuzwa na mahakama kufidia deni la mumewe alofariki.
Uhuru wa vyombo vya habri upo wapi?
Awali alikamatwa Mei 2020 na kukaa mahabusu ya polisi Central kwa siku 14 kwa amri ya utawala wa awamu ya tano kwa tuhuma za kuposti taarifa za wagonjwa wa Covid19 kukimbia Amana Hospital. Akapekuliwa nyumbani kwake kana kwamba ndo mwenye kutunza corona.
Hadi sasa simu za Maria Victor, bado ipo polisi kwa miaka miwili sasani.
Alikamatwa Mei 2020 na kukaa mahabusu ya polisi Central kwa siku 14 kwa amri ya utawala wa awamu ya tano kwa tuhuma za kuposti taarifa za wagonjwa wa Covid19 kukimbia Amana Hospital. Pamoja naye Mhariri na Mkurugenzi wa Raia Mwema Mbaraka Islam naye alikamatwa na wote walipekuliwa nyumbani...
Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo. Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya...
Inaonekana kuna issues kati yake na mumewe, na kulikuwa na ujanja ujanja kwenye huo mnada, kwa ufupi sheria hazikufuatwa, kwa Judge mzuri anayefuata sheria ata reverse kila kitu hapo na mnada kuwa batili, mama una kesi tafuta lawyer mzuri, hii kesi sio ngumu

Swala sio kesi mkuu,
Hapo ukisoma between lines Kuna kukomoana Kati ya MKE na mume.
Probably
Hapo wanandoa hao walikua ktk divorce process, Sasa yanini nilipe den wkt tutagawana 50/50 baada ya talaka.
Na baada ya talaka probably MKE lazima ataendelea kuish humo kwa ajili ya wototo.
HATA NINGEKUA MIMI SILIPI, afu tutajua mbele.
Trust me
Hakuna mwanaume mpumbavu eti ashindwe kukomboa hiyo nyumba kwa Deni la milion 5 TU.
Mleta mada utakua na umaskini wa hali ya juu.
Raisi hawez saidia watu na mikopo yao.
Swala la benki na kesi zake vinaingilianaje.
Muda mwingine kama huna uhakika na jambo sio lazima uliseme unafanya hii forum inaonekana inajaza wajinga kila siku
Swala sio kesi mkuu,
Hapo ukisoma between lines Kuna kukomoana Kati ya MKE na mume.
Probably
Hapo wanandoa hao walikua ktk divorce process, Sasa yanini nilipe den wkt tutagawana 50/50 baada ya talaka.
Na baada ya talaka probably MKE lazima ataendelea kuish humo kwa ajili ya wototo.
HATA NINGEKUA MIMI SILIPI, afu tutajua mbele.
Trust me
Hakuna mwanaume mpumbavu eti ashindwe kukomboa hiyo nyumba kwa Deni la milion 5 TU.
Una point lakini swala la mme kutokulipa au Bank kutomshirikisha mke katika process nzima ya huo mnada ndio ujanja ujanja ninaongelea ambao mbele ya sheria hauwezi kusimama, kama mke alipata barua ya mahakama na Bank na hakuchukua hatua yeyote atashindwa, kama hakupata au mme alizificha ana chance nzuri ya kushinda
Nadhani hujawajua vizuri hawa viumbe, hao watoto wanaweza kuwa sio wa jamaa na jamaa akaamua kuanza maisha mapya baada ya kunusurika kifo. Apambane na hali yake.
Boss hata kwa laki moja wanapiga tuu hizo bank zina operate kama robots, visasi na kukomoana vipo lakini mahakama itaangalia kama utaratibu kisheria ulifuatwa, nafikiri ulishaona kesi nzima ikitupiliwa mbali kwa sababu tuu signature hazikufanana
“ huyu mama lazima alikua ana mdomo, sasa mwanaume akachoka manyanyaso akaamua ahame akatulize akili, kukopa kwa mwanaume ni kawaida wanaume huwa hatukosei, huyo mama alipe hilo deni. Au akakae kwao na hao watoto inawezekana sio wa mwanaume mwenzetu”
NB: hili tukio angekua amelifanya mwanamke hii thread saizi ingekua ina comment laki sita
Una point lakini swala la mme kutokulipa au Bank kutomshirikisha mke katika process nzima ya huo mnada ndio ujanja ujanja ninaongelea ambao mbele ya sheria hauwezi kusimama, kama mke alipata barua ya mahakama na Bank na hakuchukua hatua yeyote atashindwa, kama hakupata au mme alizificha ana chance nzuri ya kushinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.