Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

Kacheza mchezo kwa aliyekuwa mama watotot wake
Huyu mwanamke aliolewa na taahira jamaa anawatesa watoto wake akijua anamtesa mwanamke[emoji38][emoji38]
Huwezi juwa labda Jamaa alisha wapima Watoto DNA kimyakimya na majibu yake anayo mwenyewe! Kuna Watu ni Majasusi wa hatari sana!!
 
Kisheria bank haiwezi kuuza collateral ya marehemu kuna insurance ambayo huwa inafanya kazi pale mkopaji anapofariki au kupata ulemavu au magonjwa ya kudumu labda km alikopa kwenye micro credit
Hyo haipo kwenye mikopo ya kibiashara..otherwise uingie wewe huo mkataba
 
Kumbe Bank husika inamilikiwa na Mwendazake? basi utawala huu wamsaidie...tena ichunguzwe huenda ni chuki tu na wala hata nyumba haidaiwi.
 
Wapi
Kisheria bank haiwezi kuuza collateral ya marehemu kuna insurance ambayo huwa inafanya kazi pale mkopaji anapofariki au kupata ulemavu au magonjwa ya kudumu labda km alikopa kwenye micro credit
Aaah wapi, nyumba zinauzwa sana tu
 
Mizizi ya Sukumagang bado inachipuka. Mwandishi wa habari wa Raia Mwema wamemkalia kooni kisa hapendi vitisho.

Yeye anafanya kazi zake kwa weledi bila woga. Mfumo unataka kumtoa roho. Wakati anakesi ya mahakamani ya 2020 aloandika kuhusu Tanzania kuwa na awagonjwa wa Corona, leo nyumba yake inataka kuuzwa na mahakama kufidia deni la mumewe alofariki.

Uhuru wa vyombo vya habri upo wapi?

Awali alikamatwa Mei 2020 na kukaa mahabusu ya polisi Central kwa siku 14 kwa amri ya utawala wa awamu ya tano kwa tuhuma za kuposti taarifa za wagonjwa wa Covid19 kukimbia Amana Hospital. Akapekuliwa nyumbani kwake kana kwamba ndo mwenye kutunza corona.

Hadi sasa simu za Maria Victor, bado ipo polisi kwa miaka miwili sasani.

Pia soma;

Wewe mwenyewe umekimbilia humu kuomba Msaada!

Iweje Sukuma-Gang wahusike wakati wao wako mitaani?

Je!
Mume wake alikopa kwenye Taasisi ya Sukuma-Gang?

Muwe mnapambana na hali zenu bila kutafuta matatizo na wengine!

Tabia ya kuandama watu kwa visasi ipo huko huko ofisini kwenu Raia Mwema na Bosi wenu #Saedkubenea!

Raia Mwema mnapofurahia kesi za wenzenu?

Raia Mwema mnapowatumia waandishi wenu kama huyu,na kisha kumtelekeza!

Raia Mwema ndio kiwanda cha Chuki katika nchi hii.

What Goes Around Also Comes Around......

Ni suala la Muda tu.......

Tukiwaambia mnaishia kututukana tukamfufue Magufuli!
 
Inaonekana kuna issues kati yake na mumewe, na kulikuwa na ujanja ujanja kwenye huo mnada, kwa ufupi sheria hazikufuatwa, kwa Judge mzuri anayefuata sheria ata reverse kila kitu hapo na mnada kuwa batili, mama una kesi tafuta lawyer mzuri, hii kesi sio ngumu
 
Hiki alichofanya mume wa huyu mwandishi sio kigeni Sana hapa mjini.

Hii huwa inatumika Sana kumnyoosha mwanamke mwenye tamaa ya Mali akijua atapata mgao wa 50/50 kwenye talaka.

Mi mwnyw Mali zangu 75% ziko kwnyw mikopo sehemu mbali mbali. Hata hati ambazo haziko kwny mikopo nmezifica kwny safe box yangu huko huko benki.

Siku wife akijichetua TU
Anataa tigawane Basi ajipange kugawana na madeni. Atakachopata Ni kidg mno maana hati zote wanazo wadai wangu.

Imeandikwa,
WANAUME TUISHI NAO KWA AKILI
 
Swala sio kesi mkuu,
Hapo ukisoma between lines Kuna kukomoana Kati ya MKE na mume.

Probably
Hapo wanandoa hao walikua ktk divorce process, Sasa yanini nilipe den wkt tutagawana 50/50 baada ya talaka.
Na baada ya talaka probably MKE lazima ataendelea kuish humo kwa ajili ya wototo.
HATA NINGEKUA MIMI SILIPI, afu tutajua mbele.

Trust me
Hakuna mwanaume mpumbavu eti ashindwe kukomboa hiyo nyumba kwa Deni la milion 5 TU.
 
Mleta mada utakua na umaskini wa hali ya juu.
Raisi hawez saidia watu na mikopo yao.
Swala la benki na kesi zake vinaingilianaje.
Muda mwingine kama huna uhakika na jambo sio lazima uliseme unafanya hii forum inaonekana inajaza wajinga kila siku
 
hapo kuna tatizo kubwa, huwezi piga mnada nyumba yenye thamani kubwa kwa deni la 5.2m, aidha kuna visasi au kukomoana kati ya mume na mke wake.
 
Hiki alichofanya mume wa huyu mwandishi sio kigeni Sana hapa mjini.

Hii huwa inatumika Sana kumnyoosha mwanamke mwenye tamaa ya Mali akijua atapata mgao wa 50/50 kwenye talaka.

Mi mwnyw Mali zangu 75% ziko kwnyw mikopo sehemu mbali mbali. Hata hati ambazo haziko kwny mikopo nmezifica kwny safe box yangu huko huko benki.

Siku wife akijichetua TU
Anataa tigawane Basi ajipange kugawana na madeni. Atakachopata Ni kidg mno maana hati zote wanazo wadai wangu.

Imeandikwa,
WANAUME TUISHI NAO KWA AKILI
si kwa ubaya au dhamira hasi ikitokea umeiaga dunia itakuwaje baba j?
 
Swala sio kesi mkuu,
Hapo ukisoma between lines Kuna kukomoana Kati ya MKE na mume.

Probably
Hapo wanandoa hao walikua ktk divorce process, Sasa yanini nilipe den wkt tutagawana 50/50 baada ya talaka.
Na baada ya talaka probably MKE lazima ataendelea kuish humo kwa ajili ya wototo.
HATA NINGEKUA MIMI SILIPI, afu tutajua mbele.

Trust me
Hakuna mwanaume mpumbavu eti ashindwe kukomboa hiyo nyumba kwa Deni la milion 5 TU.
Una point lakini swala la mme kutokulipa au Bank kutomshirikisha mke katika process nzima ya huo mnada ndio ujanja ujanja ninaongelea ambao mbele ya sheria hauwezi kusimama, kama mke alipata barua ya mahakama na Bank na hakuchukua hatua yeyote atashindwa, kama hakupata au mme alizificha ana chance nzuri ya kushinda
 
Mikono mikopo mikopo...inaumiza Sana..hata hivyo huyo mume hakufanya vizuri kutomshirikisha aliyekua mke wake..sasa wanapenda kuteseka ni watoto.
Nadhani hujawajua vizuri hawa viumbe, hao watoto wanaweza kuwa sio wa jamaa na jamaa akaamua kuanza maisha mapya baada ya kunusurika kifo. Apambane na hali yake.
 
Hapo ndio mtamkumbuka Magufuri na vita yake dhidi ya utapeli huu ambao ni wa ki-mfumo!

Magufuli alipnga na aliwakamata hawa maafisa mikopo wa Mabenki waliokuwa wakiunda Cartel na Matapeli na kisha kuwadhulumu wakopaji.

Sasa muelewe kwamba huo mnaouita Udikteta wa Magufuli ulikuwa ni Msaada kwa wasio na Pesa!

Kwa sasa Endeleeni na
"Mama Mwingi" Binti wa
"Mzee Mwinyi" wa Tabora zamani,kwa sasa safarini Zanzibar!
 
hapo kuna tatizo kubwa, huwezi piga mnada nyumba yenye thamani kubwa kwa deni la 5.2m, aidha kuna visasi au kukomoana kati ya mume na mke wake.
Boss hata kwa laki moja wanapiga tuu hizo bank zina operate kama robots, visasi na kukomoana vipo lakini mahakama itaangalia kama utaratibu kisheria ulifuatwa, nafikiri ulishaona kesi nzima ikitupiliwa mbali kwa sababu tuu signature hazikufanana
 
Ngoja niandike kama wanaume wa kiafrika,

“ huyu mama lazima alikua ana mdomo, sasa mwanaume akachoka manyanyaso akaamua ahame akatulize akili, kukopa kwa mwanaume ni kawaida wanaume huwa hatukosei, huyo mama alipe hilo deni. Au akakae kwao na hao watoto inawezekana sio wa mwanaume mwenzetu”

NB: hili tukio angekua amelifanya mwanamke hii thread saizi ingekua ina comment laki sita
 
Una point lakini swala la mme kutokulipa au Bank kutomshirikisha mke katika process nzima ya huo mnada ndio ujanja ujanja ninaongelea ambao mbele ya sheria hauwezi kusimama, kama mke alipata barua ya mahakama na Bank na hakuchukua hatua yeyote atashindwa, kama hakupata au mme alizificha ana chance nzuri ya kushinda
Mkuu,
Sion kwamba haya yanafanyika bahat mbaya au kutokujua sheria.

Hivi Vyombo vya Sheria vya nchi yetu tunavijua vililivyo.

Mpk hiyo Haki anayoidai imekuja kupatikana Basi keshanyooka vya kutosha afu nawe Kama mwanaume ushajipanga kivingine.
 
Back
Top Bottom