Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Usilazimishe kila mtu anajua Jiwe alikuwa muuaji na hii ni serikali ya awamu ya 6..
 
Rais wa nchi hii ndio mungu, anaweza kufanya lolote na asifanywe lolote. Kwamba Magufuli ndio alikuwa anatoa maagizo ya wafu kufanyiwa unyama hayana ubishi. We baki kusema sijui ni awamu ya tano, sijui ya sita hilo utajua ww.
Nini mantiki ya kuwa na chombo kinachoitwa serikali? Kama mkuu wa nchi muovu kwa nini makamu wake hakujiuzulu?
 
Mkuu una akili za kukutosha au unaandika tu kwa vile unao uhuru kufanya hivyo.

Kumbuka na iingie akilini mwako, mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati wowote ni mmoja tu, na ndiye Rais.

Operation zote, ziwe za wazi au siri huendeshwa kwa ridhaa na ufahamu wake.
Na hapo hana mshirika.

Mama Samia HAKUWA Commander-in-Chief Awamu ya Tano, sasa ndiye, na amekomesha hayo madudu ya Magufuli.
 
Soma ibara ya 47(1) ya katiba ya JMT.
 

Kikatiba hii ni awamu ya sita. Maana Rais akifa ndani ya muda usiozidi miaka mitatu, Makamu wa Rais atachukua madaraka na kutambuliwa kwamba amekaa miaka mitano Yani awamu moja na atabakia na miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Hivyo 2025 Samiah atabakiza miaka mitano.
 

Acha uongo, Majukumu ya Makamu wa Rais ni tofauti huwezi kusema yanafanana na Rais.
 
Nyie ndi miuaji na makuli mliokuwa mnabeba viroba kumfurahisha huyo mungu wenu feki aliyepigwa kama lile lisanamu la ndama walilojitengenezea nyikani. Laana inakusumbua, haya kwa kuwa wewe unajua twambie sasa katika linchi la wapuuzi kama nyinyi makamu wa Rais anashirikije na Samia ulimuona akishiriki namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…