Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #21
Ukweli upi? Samia hakuwa makamu wa Rais?Kwan wabongo hamtaki watu waongee ukweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli upi? Samia hakuwa makamu wa Rais?Kwan wabongo hamtaki watu waongee ukweli??
Can you prove ?Alikuwa mfaidika wa utawala wa kidhalimu wa Magufuli, ndio maana akiona boss wake anavuliwa nguo anahamaki.
Usilazimishe kila mtu anajua Jiwe alikuwa muuaji na hii ni serikali ya awamu ya 6..Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Kwa hiyo?Ukweli upi? Samia hakuwa makamu wa Rais?
Nini mantiki ya kuwa na chombo kinachoitwa serikali? Kama mkuu wa nchi muovu kwa nini makamu wake hakujiuzulu?Rais wa nchi hii ndio mungu, anaweza kufanya lolote na asifanywe lolote. Kwamba Magufuli ndio alikuwa anatoa maagizo ya wafu kufanyiwa unyama hayana ubishi. We baki kusema sijui ni awamu ya tano, sijui ya sita hilo utajua ww.
Ukweli upi? Samia hakuwa makamu wa Rais?
Ukweli upi?Membe kaongea ukweli
Kuhusu huyo MarehemuUkweli upi?
Sure MkuuMakamu hakuwa na say kwa mtu yule
Angejiuzulu na kupisha serikali ya waovu.Makamu hakuwa na say kwa mtu yule
Mkuu una akili za kukutosha au unaandika tu kwa vile unao uhuru kufanya hivyo.Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Soma ibara ya 47(1) ya katiba ya JMT.Mkuu una akili za kukutosha au unaandika tu kwa vile unao uhuru kufanya hivyo.
Kumbuka na iingie akilini mwako, mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati wowote ni mmoja tu, na ndiye Rais.
Operation zote, ziwe za wazi au siri huendeshwa kwa ridhaa na ufahamu wake.
Na hapo hana mshirika.
Mama Samia HAKUWA Commander-in-Chief Awamu ya Tano, sasa ndiye, na amekomesha hayo madudu ya Magufuli.
Hiyo Ibara Magufuli alikuwa anaisoma?Soma ibara ya 47(1) ya katiba ya JMT.
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
TISS ni wale wale wale, JWTZ ni wale wale, polisi ni wale wale, Waziri mkuu ni yule yule, makamu wa rais ambaye ndiye rais (ondoa tu neno Makamu ili iwe rais) ni yule yule. Kwa hiyo nadhani Mh. Membe ana matatizo binafsi na serikali ya Mama Samia, ni mnafiki maana kaongea hivyo kuonesha Mama Samia alikuwa Muuaji anaongoza serikali ya uuaji na ikifika 2025 atamgeuka na kusema hapaswi kupewa nafasi. Naamini Watanzania wapo macho na hawa waheshimiwa ambao ni wabaya sana
Soma ibara ya 47(1) ya katiba ya JMT.Acha uongo, Majukumu ya Makamu wa Rais ni tofauti huwezi kusema yanafanana na Rais.
Nyie ndi miuaji na makuli mliokuwa mnabeba viroba kumfurahisha huyo mungu wenu feki aliyepigwa kama lile lisanamu la ndama walilojitengenezea nyikani. Laana inakusumbua, haya kwa kuwa wewe unajua twambie sasa katika linchi la wapuuzi kama nyinyi makamu wa Rais anashirikije na Samia ulimuona akishiriki namna gani?Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.