abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Hiyo Ibara Magufuli alikuwa anaisoma?
Wewe vipi?
Jitu la kishetani lilitamka wazi wazi kuwa halitaki ushauri toka kwa mtutu yeyote, halafu unamtetea kwa katiba aliyoisigina kuliko rais yeyote?
This is logical.Kikatiba hii ni awamu ya sita. Maana Rais akifa ndani ya muda usiozidi miaka mitatu, Makamu wa Rais atachukua madaraka na kutambuliwa kwamba amekaa miaka mitano Yani awamu moja na atabakia na miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Hivyo 2025 Samiah atabakiza miaka mitano.
MBONA WANAIITA SERIKALI YA AWAMU YA 6? HEBU TUPENI UFAFANUŹIKwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Chagu wa Malunde Wacha kumhusisha Madam Prez na uhayawani. Kwanza kabisa kwenye unyama wa Magufuli ulikuwa unafanywa na kikundi chake cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda na Sabaya.Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Mafala wahedi ninyi!Rais Samia alikuwa makamu wa rais, Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu, Philip Mpango alikuwa Waziri wa Fedha, IGP siro yupo hadi leo
Rais Samia alikuwa makamu wa rais, Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu, Philip Mpango alikuwa Waziri wa Fedha, IGP siro yupo hadi leo
Hii ni serekali ya Awamu ya sita.Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Rais ndie mwamuzi wa mwisho, mfano matendo maovu ya Makonda, Sabaya polisi na wengine utasema hakujua? Makamu ana mamlaka madogo sana,Hii ni serekali ya Awamu ya sita.
President is a top post, and a final say maamuzi yake ni ya mwisho mbaya umpate asiyeshaurika.
Ukimpata mwenye uasili wa kikaburu, makamu, pm na wote wanakuwa si lolote kwenye nafasi zao, tuache kujitoa ufahamu.
Makamu hakuwa na say kwa mtu yule
Kikatiba hii ni awamu ya sita. Maana Rais akifa ndani ya muda usiozidi miaka mitatu, Makamu wa Rais atachukua madaraka na kutambuliwa kwamba amekaa miaka mitano Yani awamu moja na atabakia na miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Hivyo 2025 Samiah atabakiza miaka mitano.
Kweli mapenzi ni upofu,,Wewe yaelekea ndio ulikuwa unatumwa kuteka na kuua maana Roho inakuuma Sana Membe kuongelea hilo suala
Hapo unatoa kashfa kwa aliyekuwa makamu wa Rais awamu ya tano!! Ukweli utabaki pale pale kuwa huwezi kumtenganisa Rais na makamu wake!! Kama ni sifa ni ya wote na kama ni lawama ni ya wote!! Mwanadiplomasia kama Membe anaujua vizuri ukweli huo!! Anamchimba mama kiaina, inabidi mama amstukie!! Membe anautaka urais 2025!!Umakamu ndani ya nchi ile ni Kama mzigo, lazima ufuate direction ya boss other ways operation tezi dume itakuhusu
Hivi wale vijana wauza simu wa kkoo wamepotea hadi leo ha hawajulikani walipo.Rais wa nchi hii ndio mungu, anaweza kufanya lolote na asifanywe lolote. Kwamba Magufuli ndio alikuwa anatoa maagizo ya wafu kufanyiwa unyama hayana ubishi. We baki kusema sijui ni awamu ya tano, sijui ya sita hilo utajua wewe.
Kama haya ni kweli basi aibu nimeona mimiKwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.
Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?
Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.
Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?
Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.
Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Hii siyo awamu ya sita!! Hii bado ni awamu ya tano!! Awamu huchaguliwa na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu. Kila awamu huchaguliwa ikiwa na Rais na makamu wake. Rais akifariki, makamu wake hushika usukani kuendeleza awamu hiyo hiyo!! Yawezekana kuna mambo wanayaonea aibu kwenye awamu ya tano na wanalazimisha kujitenga nayo jambo ambalo haliwezekani!! Kama ni sifa ni yao wote na kama ni lawama au fedheha ni yao wote!!
Membe umechoka pumzika tu.Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.