Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

Kikatiba hii ni awamu ya sita. Maana Rais akifa ndani ya muda usiozidi miaka mitatu, Makamu wa Rais atachukua madaraka na kutambuliwa kwamba amekaa miaka mitano Yani awamu moja na atabakia na miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Hivyo 2025 Samiah atabakiza miaka mitano.
This is logical.
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
MBONA WANAIITA SERIKALI YA AWAMU YA 6? HEBU TUPENI UFAFANUŹI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Chagu wa Malunde Wacha kumhusisha Madam Prez na uhayawani. Kwanza kabisa kwenye unyama wa Magufuli ulikuwa unafanywa na kikundi chake cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda na Sabaya.

Pilli Samia hata kwenye maamuzi makubwa ya Nchi alikuwa hashiriki licha ya kuwa ni Makamu wa Rais. Na yasemekana hata yeye mwenyewe alikuwa na wakati mgumu sana kiasi alitaka kubwaga manyanga kama mara 2, na akarudishwa na J Kikwette.
 
Rais Samia alikuwa makamu wa rais, Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu, Philip Mpango alikuwa Waziri wa Fedha, IGP siro yupo hadi leo​

Mafala wahedi ninyi!
Sasa sema , tena, kwa kubana pua, mbona mauaji hamekoma?
Nini kimebadilika?
 
Na mwigulu nchemba alikuwa waziri wa mambo ya ndani.
Binafsi siwezi kumlaumu Samia akiwa makamu wa rais.
Maana hicho CHEO NI PAMBO TU.
Mwenye sauti alikuwa rais,waziri mkuu,na waziri wa mambo ya ndani.
Kama kunyongwa wangeanza hao
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Hii ni serekali ya Awamu ya sita.
President is a top post, and a final say maamuzi yake ni ya mwisho mbaya umpate asiyeshaurika.
Ukimpata mwenye uasili wa kikaburu, makamu, pm na wote wanakuwa si lolote kwenye nafasi zao, tuache kujitoa ufahamu.
 
Rais ndie mwamuzi wa mwisho, mfano matendo maovu ya Makonda, Sabaya polisi na wengine utasema hakujua? Makamu ana mamlaka madogo sana,

Hawezi hata kuteua mkuu wa Wilaya,
Hivyo Rais akiwa mwovu makamu hana cha kufanya,

Hata kujiuzulu anashindwa, inabidi awe mateka wa Rais
 
Kikatiba hii ni awamu ya sita. Maana Rais akifa ndani ya muda usiozidi miaka mitatu, Makamu wa Rais atachukua madaraka na kutambuliwa kwamba amekaa miaka mitano Yani awamu moja na atabakia na miaka mitano tu mingine ya kuchaguliwa. Hivyo 2025 Samiah atabakiza miaka mitano.

Kifungu na Ibara gani ya katiba?
 
Wewe yaelekea ndio ulikuwa unatumwa kuteka na kuua maana Roho inakuuma Sana Membe kuongelea hilo suala
Kweli mapenzi ni upofu,,
Hata mwenye chongo huitwa kengeza.
 
Umakamu ndani ya nchi ile ni Kama mzigo, lazima ufuate direction ya boss other ways operation tezi dume itakuhusu
Hapo unatoa kashfa kwa aliyekuwa makamu wa Rais awamu ya tano!! Ukweli utabaki pale pale kuwa huwezi kumtenganisa Rais na makamu wake!! Kama ni sifa ni ya wote na kama ni lawama ni ya wote!! Mwanadiplomasia kama Membe anaujua vizuri ukweli huo!! Anamchimba mama kiaina, inabidi mama amstukie!! Membe anautaka urais 2025!!
 
Rais wa nchi hii ndio mungu, anaweza kufanya lolote na asifanywe lolote. Kwamba Magufuli ndio alikuwa anatoa maagizo ya wafu kufanyiwa unyama hayana ubishi. We baki kusema sijui ni awamu ya tano, sijui ya sita hilo utajua wewe.
Hivi wale vijana wauza simu wa kkoo wamepotea hadi leo ha hawajulikani walipo.

Hivi ilikuwa awamu ya Magufuli?
Punguzeni uchawa.
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Kama haya ni kweli basi aibu nimeona mimi
 
Hakuna kitu kama shared presidency.... wakati mmoja Rais ni mmoja.

Serikali nzima kiuhalisia inawajibika kwa Rais tu, sasa kama walikuwa wanafanya ushenzi au wanashindwa kuzuia ushenzi au wanajifanya hawaoni ushenzi, hilo ni la CEO wa Serikali aka the president.

Rais amepewa dhamana ya kuwa Commander in Chief kuhakikisha usalama wa raia na mali zao, ikitokea raia wanatekwa, kuuawa ama kupotezwa bila utatuzi wa kueleweka, lawama zinapaswa kwenda kwake... Leo hii watu wanamlaumu Makamba kuhusu ujenzi wa Bwawa, umewahi kusikia wakimsema naibu waziri wake?

Wakianza watu kutekwa na kupotea sasa hivi, lawama apewe yeye; ila ya Magufuli ayabebe Magu mwenyewe
 
Hii ni awamu ya sita broo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii siyo awamu ya sita!! Hii bado ni awamu ya tano!! Awamu huchaguliwa na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu. Kila awamu huchaguliwa ikiwa na Rais na makamu wake. Rais akifariki, makamu wake hushika usukani kuendeleza awamu hiyo hiyo!! Yawezekana kuna mambo wanayaonea aibu kwenye awamu ya tano na wanalazimisha kujitenga nayo jambo ambalo haliwezekani!! Kama ni sifa ni yao wote na kama ni lawama au fedheha ni yao wote!!
 
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT.

Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika?

Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu.

Vipi kuhusu ile kauli yake kuwa polisi wa Tanzania hawezi kupiga risasi thelathini na nne pasipo kulenga shabaha?

Kauli uliyoitoa haina afya kwa taifa hili. Siasa unazofanya hazifai kabisa.

Hii bado ni serikali ya awamu ya tano. Rais Samia alichaguliwa pamoja na mtangulizi wake.
Membe umechoka pumzika tu.
 
Back
Top Bottom