Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

Utopolo tangu lini ukanielewa genius mimi. Mimi nimesoma primary hadi university Ulaya hukoo. Dar nimekuja nishakuwa na miaka 24. Sasa wewe St Kayumba ndiyo unielewe point zangu kweli? Itakuwa ni maajabu ya dunia eti
Mi niliyefunga kuku na mbuzi, hii ndo tabia yao. ikifika msimu wa uzazi ni kujichanganya tu! Mama, baba, mjukuu,n.k. hwana mipaka. sasa erti ACT, CHADEMA, mata kule Zenj wanasema wanampa sapoti Maalim. Huku Zitto anasema Lissu safi, Huyu mkosa uzoefu naye kaja na yale yale ya iaka ile! Ni sawa na wanayama wangu tu!
 
Nilichomuelewa Membe anakuja kufunga goli la ushindi tarehe 27 atakapopanda jukwaa la Lissu siku ya kufunga kampeni Darisalama.

Atatangaza rasmi huku vituo mbalimbali vya tv vikirusha live mkutano wa Lissu wa kufunga kampeni kwamba kura zake zoote apigiwe Lissu yeye si mgombea.

Jasusi mbobezi hapa ndio wengi wanashindwa kumuelewa.
 
Membe anaelewa anazungumza nini na ndio point pekee niliyoiona.
Nimekupuuza kwa sababu unaside upande, ingawa wote wamefanya kosa lile like, kwako mmoja nihalali kwa mwingine sio halali na ndio akili zenu CCM mlio wengi.
 
Habari rafiki,
Membe ana akili timamu na naamini hawezi kujizika kisiasa. Wengi wenye akili wanasema na walisema mapema kwamba huyu amekwenda ACT kwa kazi maalum. Akifanya hivyo atakuwa anathibitisha tuhuma hizi.
Wenye akili kubwa hichi tulikisema humu mapema sana, huyu jamaa ni mamluki, tukasema ujasusi mipango yake hufanywa kwa muda mrefu sana.
Oooh! Sauti zimevuja,
oooh watu wamesamehewa na wengine wamesimamishwa uanachama

Mara wamepiga magoti, ila Membe kagoma!
Hizo zote zilikuwa danganya toto tu.
Dakika za mwisho anaenda kutimiza alichotumwa na CCM na Magufuli.

Lakini amechelewa bila hata ACT members, imani iliyooneshwa na watanzania kwa Lissu ni kubwa mno, hata asema vipi is to late
 
Ccm wanakalizwa dakika ya 89 na hakuna extra time.

Sheikh Ponda tu karusha kombora moja korido za Lumumba na Bakwata wamepoteana.
Na ratiba CHADEMA wanakuja kumalizia Dar kwahiyo ponda atakuja kujibu utumbo wa bakwata na Gwajima
 
Huyu naye bado ana ndoto tuu?

Ameshamaliza kutengeneza baraza la mawaziri?

Mwambieni October 28th kura zote za ndio ni kwa Mzalendo wa Afrika nzima Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kakujua toka mapema kuwa hata wakiungana hakuna kumtoa Magu, mbona alisema mwanzo kuhusu kuungana!!!
Mbwa karudia kula matapishi yake.
Tulishamjua
 
Membe kashindwa kumshawishi kiongozi mkuu wa chama chake, Zitto Kabwe, ampigie kura, anataka kuwashawishi wananchi?
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakuwa upinzani ni dhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Wenye akili kubwa hichi tulikisema humu mapema sana, huyu jamaa ni mamluki, tukasema ujasusi mipango yake hufanywa kwa muda mrefu sana.
Oooh! Sauti zimevuja,
oooh watu wamesamehewa na wengine wamesimamishwa uanachama

Mara wamepiga magoti, ila membe kagoma!
Hizo zote zilikuwa danganya toto tu.
Dakika za mwisho anaenda kutimiza alichotumwa na ccm na magufuri.

Lakini amechelewa bila hata Act members, imani iliyooneshwa na watanzania kwa Lissu ni kubwa mno, hata asema vipi is to late
Huu ndo ukweli, hata yeye hawezi kujizika kwa upepo wa Lissu uliopo ni bora akakaa kimya kuliko kuonesha yuko kinyume naye au kuiunga mkono CCM.
 
Membe kashindwa kumshawishi kiongozi mkuu wa chama chake, Zitto Kabwe, ampigie kura, anataka kuwashawishi wananchi?

Zitto ndiye alimshawishi Kachelo hadi kuhamia chama chake, na kumpa ridhaa ya kugombea.... iweje tena ahitaji ushawishi kumpigia kura?
 
Ninachokiaona Membe amejaribu kukwepa mishale ya NEC, kama angesema anamuunga mkono Lissu huwezi kujua NEC wangesema nini. To me he is smart guy maana ni mgombea gani asiyefanya kampeni!!
He is very strategic and few can understand this culculated move. What he did is to let them more confusing while things are already settled.
 
Back
Top Bottom