TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Aisee..!!Hapa tunakula mihogo, senene au kahawa asubuhi na jioni.
Kumbe wako vizuri, nimeulizia robo ya senene hapa mtaani nimeambiwa inauzwa elfu 45!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..!!Hapa tunakula mihogo, senene au kahawa asubuhi na jioni.
Usitishike na mkwara huo, hauna effect yoyote kwa Lissu!Hii mbinu ya goli dk 89 ni ipi ?
Hatuwezi kufua nguo za ndani mbele za watu.
Membe: Nikiambiwa nirudi CCM siwezi kurudi
Ukishakuwa mteule wa Urais, kisheria hairuhusiwi kuseme unamuunga mkono rais fulani wakati na wewe ni mgombea wa huo urais. Ukisema hivyo unatakiwa upelekwe Milembe
Kwa lissu sina mashaka najua ni mkakati ila hiyo mbinu ya dk 89 nahisi ni ya kupiga bao CCMUsitishike na mkwara huo, hauna effect yoyote kwa Lissu!
Acha kupotosha, kasema yeye ni mgombea halali wa ACTTunamshukuru kwa uamuzi wake wa kumuunga mkono Lissu
Isije ikawa mbinu ya kumng'oa kwa nguvu za dola magu
Acha kupotosha wewe huna lolote,wee kidampa wa nanjilinji,eti ushindi wa Lissu Mara siri kubwa,huna hayaKuna uzi niliuleta hapa juzi ila ukabaniwa haukupita.
Kuna siri kubwa katika mipango ya ACT na CHADEMA lakini kwa maslahi mapana ya ushindi wa Lissu nisingependa kuyasema.
Kiufupi kuendelea kuwepo kwa Membe kwenye karatasi ya kura kuna baraka ya vyama vyote viwili. Jamaa amewekwa kimkakati zaidi.
CCM haikumpandisha shekhe wa mkoa dsm.?.Au alikuwa hamuombei kura Magufuli?.Kazungumza mambo mengi lakini nilichokiona ni hatari ya kuwapandisha viongozi wa dini kwenye majukwaa ya kisiasa.
Chadema wanakosea Sana, hiyo ndio tunaita political immaturity.
Jamani ukweli uko wazi korona imetingisha uchumi wa dunia nzima tena hapa Tanzania tuna nafuu, nenda hapo jirani kenya uone uchumi ulivyotetereka , wanalia , ulaya na Marekani ndio kabisaa .Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar...
Ila we kidada una shobo had sio poa ,alaf unajisifu hapa et nimeaoma ulaya ,sijui mm genius wakat hata kureason tu hujui .Wapinzani gani hawa wasiojua mbele wala nyuma? Leo wanasema wanamsapoti Lisu, halafu anaibuka mwingine anasema mimi ndiyo mgombea urais wa ACT. What is the better way to describe this attitude than UTOPOLO at its best?
Hapo ndo wanakwama. Kuamini watapata kura baada ya kueleza ubaya wa mwenzao bila kueleza uzuri wao. Hivi Membe ana akili timamu kweli?aisee nimecheka sanaaaa eti RAIS WA MIUNDO MBINU KAMA NYUKI
Kuna maslahi ya Zanzibar na wabunge na madiwani. Huwezi ruhusu chama kipate matatizo sasa.Chochote NEC wangesema, still Membe hana cha kupoteza kama kweli anasupport msimamo wa chama. NEC wakimfungia kufanya kampeni, hapo si ndiyo ingekuwa faida kwa ACT na msimamo wao wa kumuunga mkono Tundu Lissu? Membe hajielewi yule.
Membe anaelewa anazungumza nini na ndio point pekee niliyoiona.CCM haikumpandisha shekhe wa mkoa dsm.?.Au alikuwa hamuombei kura Magufuli?.